Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Na msufini hapa!Atoto Lindi ya wapi mitwero, mnazi mmoja, fisi, wailes, saba saba, kariakoo, muhimbili? Raha leo? Mtanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na msufini hapa!Atoto Lindi ya wapi mitwero, mnazi mmoja, fisi, wailes, saba saba, kariakoo, muhimbili? Raha leo? Mtanda?
Vibe ni nini!?..pombe na Malaya?..wingi wa watu?..haya mkoa gani wa bara una vibe?..halafu vibe linahusika nini na geographical location (bara/pwani)?..magu Kuna vibe,makete!?..ileje,tukuyu?..Ukiondoa dsm niambie kuna mji gani wa pwani wenye vibe.
Mjinga wewe, huku hakuna mtu atakaa akamtupia mwingine jini, watu wanaishi kwa amani kuliko sehemu yoyote ile hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla, yaani huku unaweza kuacha kila kitu chako nje ya nyumba na ukakikuta baada ya machweo na pia unaweza kutembea kutoka sehemu moja hadi nyingine bila wasiwasi na uoga.Ukanda huo ndio asili yao. Jichanganye wakuchape jini
Nenda Masasi Ntwara nako ni kama LindiTayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?
Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.
Nipo Lindi mjini
Mkuu kwa lindi ni mtaa gani umetulia nina mpango wa kujenga huko
Hili ndio lile eneo linajengwa nyumba mpya mpya pale juu kama unaondoka Lindi kuelekea Dar..?Mitwero mzee, ndio mji mpya unaoandaliwa.
Barikiwa sana mkuu.
Lindi imezidi ni mji mdogo mwanamke mmoja anawapanga tu
Hili ndio lile eneo linajengwa nyumba mpya mpya pale juu kama unaondoka Lindi kuelekea Dar..?
Unataka uwakute wamejipanga?Lindi Sehemu gani mkuu?
Uislam na kutosoma kwa wananchi ndicho kinachowaangusha wala panya wale. Lindi ni sawa na Tanga, Zanzibar, Pemba, Pwani, Mtwara, Tabora na Kigoma. Wanaume hawapendi kufanya kazi, wao ni kula, kulała, na kushinda misikitini na migahawani haswa vijiwenii wakicheza bao, wataendelea lini kwa style hii ya maisha? Watoto wakienda shule wanagombezwa, mzazi anataka mtoto aende madrasa ili akajifunze Kiarab kisicho na faida maishani mwake.Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend?
Anyways wenyeji wa Lindi Nipeni ABC za Lindi kwenye eneo la warembo na starehe.
Nipo Lindi mjini
Ndio uchawi huoMjinga wewe, huku hakuna mtu atakaa akamtupia mwingine jini, watu wanaishi kwa amani kuliko sehemu yoyote ile hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla, yaani huku unaweza kuacha kila kitu chako nje ya nyumba na ukakikuta baada ya machweo na pia unaweza kutembea kutoka sehemu moja hadi nyingine bila wasiwasi na uoga.
Uko wana malizana kwa kutogana, ndiyo maana uko kufanya jambo la maendeleo ni ngumu, Sehemu wanayoishi Waislamu wengi hakuna maendeleo ya watu kupiga atua. Yani ukifungua Biashara ata ya Duka, Chips wana ziwangia na watabia ya kuroga usipige atua.Ni ngumu mno kusikia watu wakiuana Lindi.. Mimi Nina miaka minne Lindi sijawahi kuona watu wakirushiana hata ngumi.. Huku hata mtu kafumaniwa na mke wa mtu yanaisha Kwa amani sanasana watu watataka hela tu... Sio Kanda nyingine mtu hata demu ukimchukulia anakuma
Mkuu sehemu yoyote ukiona wanaishi Waislam kupatikana maendeleo ni ngumu sana kwasababu wao wanapenda uswahili sana, Mfano utakuta Muislam swala tano kila wakati anaenda Msitini lakini akipata shida anaenda kwa Mganga wa kienyeji.Lindi ni kweli pamepoaa,Mtwara pambee siku hizii.Ila kusini kukonyuma sanaaa umeskini ni mkubwa Sanaa.
We jamaa ni mwanaume kabisa umefunga na safari mkoa hadi mkoa ila hujui jinsi ya kupata mwanamke mpaka uelekezwe na mwanaume mwenzako?Barikiwa sana mkuu.
Mimi sichukui malaya wanao jiuza mkuu. Natongoza wasichana wanao ishi kwao. Wale wasio na alama za weusi katikati ya mapaja wala michirizi kwenye mapaja. Age 18 to 20.We jamaa ni mwanaume kabisa umefunga na safari mkoa hadi mkoa ila hujui jinsi ya kupata mwanamke mpaka uelekezwe na mwanaume mwenzako?
Are you for real?
Acha kukalili.Miji ya pwani maendeleo ni kufuga majini na kuigiza swala tano. Huwezi kupata starehe ya maana mji wowote wa waswahili.
Masasi ni "Magomeni" ya kusini.Itoe masasi
Udini unakutesa sanaMiji ya pwani maendeleo ni kufuga majini na kuigiza swala tano. Huwezi kupata starehe ya maana mji wowote wa waswahili.
Sure,hizi dini za kujaaa zimetujaza ujingaa mkuu.Mbona waarabu wakomakini sana na Biashara zao.Sisi weusi ndini tunazitumia vibayaa ATI mtu hafugi nguruwe kisa Mtume afu anamlaum jiranii kwanini anamloga maisha yake magumu.Mkuu sehemu yoyote ukiona wanaishi Waislam kupatikana maendeleo ni ngumu sana kwasababu wao wanapenda uswahili sana, Mfano utakuta Muislam swala tano kila wakati anaenda Msitini lakini akipata shida anaenda kwa Mganga wa kienyeji.