an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
😂😂duuh hatariAhaa sehemu za hivyo Mimi sizitaki sana nataka sehemu wanazo kaa wenyeji kama Lindi. Sio unaenda kivinje huko au masasi halafu unakutana na mademu wametoka kinondoni wakati na wewe mwenyewe imetoka kinondoni