Lindi: Mbunge wa CCM Nachingwea azomewa na Wananchi

Kabwe-Nkasi-Rukwa, aiseee lile tukio ni hatari Sana nimesimuliwa na waliokuwepo huko. Wananchi tusichukue sheria mkononi lakini pia Polisi msipende kuwa underrate na kuwadharau wananchi.
Braza polisi wale fimbo sana hadi waache u ccm
 
Kweli dunia inazunguka, leo hii Lindi na Mtwara ndio pamekuwa ni uwanja wa vuguvugu dhidi ya CCM?! Hongereni sana watu wa Kusini!
 
Hii ndiyo dawa ya majizi na matapeli
 
Huyo ni Mbunge wao hadi 2025. Mwanasiasa kuzomewa kawaida sana. Mwenzao Bush alipigwa na kiatu kabisa lakini aliendelea kuwa Rais, tena wa Marekani. Nini kuzomewa bwana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…