Hii ndiyo Tanganyika bana.Tuachane na mataa.
Me nashauri, May Mosi hii Rais badala ya kuongeza mishahara apunguze makato kwenye basic salary na kupunguza kodi kwenye baadhi ya bidhaa, ipunguze ugumu wa maisha.
Tuachane na mataa.
Me nashauri, May Mosi hii Rais badala ya kuongeza mishahara apunguze makato kwenye basic salary na kupunguza kodi kwenye baadhi ya bidhaa, ipunguze ugumu wa maisha.
Mkoani ndio mjiniLindi yote moja. Hamna Lindi Mjini 😂😂
Tunatakiwa tufanye kazi kweli kweli, hatuna mjomba wa kutujengeaHii inchi inasikitisha sana