Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hakuna pa kutokea 😆 😂 😆😂😂 Ukibaki nazo mtiti ukizirudisha Mtiti.
Duuh wa nje wa nje na wa ndani wa ndani.Nachokaa.😂😂 Ukibaki nazo mtiti ukizirudisha Mtiti.
Hi inaitwa tugawane msala Babu 😂😂Hakuna pa kutokea 😆 😂 😆
Sasa watajuaje kama zimekataliwa, lazima ifanyike namna ya kuonesha kuwa hawazitaki, na maisha yao yaliendelea bila kuwepo hizo pikipikiKwani lazima kuzirudisha si wangekaa nazo tu ndani au kwenda kuzitupa huko hata porini
Uhaini siku hizi kila mtu anatenda, limekuwa kosa rahisi kulitenda.Kurudisha pikipiki hizo ni kosa la uhaini.
Maana umeitishia jamhuri.
😂😂😂😂wanamdhalilisha RaisiMkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.
Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
Yes, tena la uhaini kabisa!😂Tetesi, mkoa wa lindi kuna wanachi wamerudisha piki piki na baiskeli za samia wamekamatwa na polisi wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.
Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa muujibu wa sheria gani ?
Nimefurahi sana kwa habari hii. Siyo kwa sababu wamerudisha bali kwa sababu wamekamatwa. Huu ujinga wanaofanya ndiyo utaharakisha maangamizi ya Samia na kundi lake. Kila wanachofanya sasa kinaonyesha kabisa utawala wa CCM unafikia kikomo tena kwa maangamizi makubwa. Samia anaiua CCM kwa kasi sana.Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.
Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
Ndio mkuu si umeona yule binti kapiga dansi ya "nywinywinywi" kapewa kesi ya uhaini maana ile miondoko ya dansi ilikua ni tishio kwa jamhuri.Uhaini siku hizi kila mtu anatenda, limekuwa kosa rahisi kulitenda.