HeeeMkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.
Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
Hii ni nzuri siku nyingine wasipokee kabisa yaanii ukikaa nchale ukisimama nchale 😀😀😀😀🙂😂😂 Ukibaki nazo mtiti ukizirudisha Mtiti.
😁😁😂😂 Ukibaki nazo mtiti ukizirudisha Mtiti.
Hao policcm hawajui kuwa ukikutwa na hizo nyumbani kwako unaweza kuchomwa??Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.
😂😂 Ukibaki nazo mtiti ukizirudisha Mtiti.
Kwa serikali hii tumeshaona mengi ambayo tulidhani hayawezekani ila yametokea na yanazidi kutokea.Hivi kuwa mbongo maana yake hutakiwi kuulizia ushahidi wa habari yoyote inayotelewa,
unatakiwa uamini tu ni kweli na uiendeleze.....
Ila kurudisha kadi ya Chadema kama Wenje ni sawa?Kurudisha pikipiki hizo ni kosa la uhaini.
Maana umeitishia jamhuri.
Pale hajaitisha jamhuri , Wenje alishakua anakula meza moja na jamhuri na ndio alimpeleka Abdul kwa Lissu kujaribu bahati yake kumhonga .Ila kurudisha kadi ya Chadema kama Wenje ni sawa?
Choose your hard😂😂😂 Ukibaki nazo mtiti ukizirudisha Mtiti.
Ukikataa kupokea mtiti. Tunaongozwa na mashetani😂😂 Ukibaki nazo mtiti ukizirudisha Mtiti.
😂 😂 😂 😂 huku n'go na kule n'go kazi ipo mmmaeeèHakuna pa kutokea 😆 😂 😆
Watakua wametenda kosa la.uhainiMapolisi yametoa sababu zozote za kuwakamata?
Walisha Changanyikiwa hawa watuKurudisha pikipiki hizo ni kosa la uhaini.
Maana umeitishia jamhuri.