Tetesi: Lindi: Wananchi waliorudisha Pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na Polisi

Yule kuna something behind, kuna mtu kampa mchongo nae akajaa, ama pesa za kuhamasisha maandamano au kuna mtu mkubwa kamgeuka, sio kucheza nywinywinywi, wadada wa mjini wanapenda pesa za mserereko,

Kuna kitu kimejificha nyuma yake, maana kuna tetesi alikuwa anatoka na waziri mmojawapo!!!!!???? Vilevile alikuwa speed sana na trending za mtandaoni biashara na umaarufu wa ghafla kajikuta anatengeneza maadui wengi kuliko marafiki kuna pahala kakanyaga vibaya
Sipingani na wewe dada kapeace ila HAKUNA UMAARUFU WA GHAFLA ALIOPATA MTU, EVEN IF YOU SEE IT AS AN OVERNIGHT GROWTH watu wanakuwa consistent na kutokata tamaaa licha ya hali ngumu na wanafanikiwa🫵
 
Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.

Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
Aisee Polisi wa Samia ni fedheha; na hapo watawapa kesi ya Uhaini eti😂
 
Oya serikali itupeni idadi kamili ya watu waliokufa Kwa risasi.
Yaani muhimbili tu imepatikana miili 600+.
 
Attachments

  • Screenshot_20251108-032013.jpg
    Screenshot_20251108-032013.jpg
    205.5 KB · Views: 17
Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.

Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
Wazichome moto tu na sasa hivi mtaani hazionekani hovyo
 
Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.

Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
Huo ndiyo uonevu usio na kifani, acheni uonevu ninyi police. Msituue sisi watanganyika.
 
Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.

Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
Ufalme umefitinika
 
Eeh hii ni maajabu kabisa.
 
Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.

Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii sasa ni too much.
 
Back
Top Bottom