Tetesi: Lindi: Wananchi waliorudisha Pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na Polisi

Ndio mkuu si umeona yule binti kapiga dansi ya "nywinywinywi" kapewa kesi ya uhaini maana ile miondoko ya dansi ilikua ni tishio kwa jamhuri.
Yule kuna something behind, kuna mtu kampa mchongo nae akajaa, ama pesa za kuhamasisha maandamano au kuna mtu mkubwa kamgeuka, sio kucheza nywinywinywi, wadada wa mjini wanapenda pesa za mserereko,

Kuna kitu kimejificha nyuma yake, maana kuna tetesi alikuwa anatoka na waziri mmojawapo!!!!!???? Vilevile alikuwa speed sana na trending za mtandaoni biashara na umaarufu wa ghafla kajikuta anatengeneza maadui wengi kuliko marafiki kuna pahala kakanyaga vibaya
 
Yeah nimeiandika tu kama "irony" pengine sababu ulizotaja ni sahihi kabisa maana ukiangalia binti mwenyewe hana "hatari" yoyote kwa hiyo jamhuri itakua kaangushiwa jumba bovu tu kusafisha genge fulani.
 
Kabisa kashiriki jambo bila kujua hatari yake katangaziwa chake akajaa, wakabutua wakamchoma wamemtupa,
 
LIwe jambo la kitaifa warudishe ama wa chome, kwanzia kofia tshirt, baskeli, toyo na kadi
 
Back
Top Bottom