Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa.Kurudisha pikipiki hizo ni kosa la uhaini.
Maana umeitishia jamhuri.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa.Kurudisha pikipiki hizo ni kosa la uhaini.
Maana umeitishia jamhuri.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio mkuu si umeona yule binti kapiga dansi ya "nywinywinywi" kapewa kesi ya uhaini maana ile miondoko ya dansi ilikua ni tishio kwa jamhuri.
Hapo maadui zake mf Dullvani watakuwa wamefurahi.Yule kuna something behind, kuna mtu kampa mchongo nae akajaa, ama pesa za kuhamasisha maandamano au kuna mtu mkubwa kamgeuka, sio kucheza nywinywinywi, wadada wa mjini wanapenda pesa za mserereko,
Kuna kitu kimejificha nyuma yake, maana kuna tetesi alikuwa anatoka na waziri mmojawapo!!!!!???? Vilevile alikuwa speed sana na trending za mtandaoni biashara na umaarufu wa ghafla kajikuta anatengeneza maadui wengi kuliko marafiki kuna pahala kakanyaga vibaya
Huko si ndio " ukikimbia nchale na ukisimama nchale " 🤣🤣Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini.
Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
Kwa sasa kila mtanganyika ni mhaini.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa.
Zile kesi za uzurulaji naona sasa zimepumzishwa.Kwa sasa kila mtanganyika ni mhaini.
Serikali ya bi Mwenda iongeze idadi ya magereza tu.
Mtu ambaye amechaguliwa na watu milioni 32 anaapishwa kwenye uwanja wa gwaride la kijeshi porini lazima iwe jambo la ajabu.Zile kesi za uzurulaji naona sasa zimepumzishwa.
Na alifunga comment anaogopa kupongezwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtu ambaye amechaguliwa na watu milioni 32 anaapishwa kwenye uwanja wa gwaride la kijeshi porini lazima iwe jambo la ajabu.
Ukizitupa sisi jirani zako tunajua bado uko nayo ,jiandae kupambana na shida zako .Kwani lazima kuzirudisha si wangekaa nazo tu ndani au kwenda kuzitupa huko hata porini
Shida siyo hiyo , yaaninuspozirudisha tena hadharani jamii inakuhesabu kama moja ya adui yao mkuu so kwa maisha haya tunayoishi kwa kutegemeana unadhani ni rahisi kukabiliana na hayo mazingira?Wapige rangi nyingine wazitumie hazina shida ,
Ni kichekesho sana page ya policcm ikulu mawasiliano , Samia , Abdul kule X zimefunga commentsNa alifunga comment anaogopa kupongezwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
CCM wanapitia nyakati ngumu sanaNi kichekesho sana page ya policcm ikulu mawasiliano , Samia , Abdul kule X zimefunga comments
TRA wao wameenda mbali kabisa page iko private mode mpaka uwe approved ndio uone posts zao.
Shida zina mikataba migumuSasa watajuaje kama zimekataliwa, lazima ifanyike namna ya kuonesha kuwa hawazitaki, na maisha yao yaliendelea bila kuwepo hizo pikipiki
Fake P hii comment nmecheka mpaka nkasahau na shida zangu😂😂 Ukibaki nazo mtiti ukizirudisha Mtiti.
Hahaha police force lifumuliwe, ni kituko hikiWanakijiji cha Nangano, Liwale Lindi wamekamatwa na kupelekwa kituo cha polisi kwa kurudisha pikipiki za SSH 2025
Kurudisha kumbe ni kosa.
Kama chama cha magaidi wa chademaNimefurahi sana kwa habari hii. Siyo kwa sababu wamerudisha bali kwa sababu wamekamatwa. Huu ujinga wanaofanya ndiyo utaharakisha maangamizi ya Samia na kundi lake. Kila wanachofanya sasa kinaonyesha kabisa utawala wa CCM unafikia kikomo tena kwa maangamizi makubwa. Samia anaiua CCM kwa kasi sana.