Lindi: Wananchi wasota na kivuko kwa siku 21. Waiangukia Serikali

Lindi: Wananchi wasota na kivuko kwa siku 21. Waiangukia Serikali

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Wakazi wa Kata ya Kitumbikwera katika manispaa ya Lindi, wameiomba Serikali kuharakisha matengenezo ya kivuko kilichopo katika eneo lao ili waendelee na shughuli za uzalishaji mali.

Kuharibika kwa kivuko cha MV Kitunda, kumesababisha wananchi hao kutumia boti zinazodaiwa si salama zenye kuhatarisha maisha yao.

Wakizungumza na Mwananchi Digital, leo Alhamisi Novemba 16, 2023, wananchi hao wamesema Serikali isipoharakisha matengenezo wataathirika zaidi kiuchumi.
 
Lindi kuna sehemu zingine siyo

Poa

Ova
 
Back
Top Bottom