Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Mbona walishakamatwa siku nyingi na nimatukio ya tarehe 29/10/2020. Nashangaa leo ndiyo yanaletwa hapa JF!! Au kwa kuwa mitandao ilikuwa imefungwa!
Wawajengee kila raia gorofa, ili wazioshe dhambi zao .Maccm Kuna kitu yanatengeneza ili kuja kuhalalisha unyama wao
Mtu una akiri unaenda kuchoma nyumba kuna watu ndani kisha unataka wewe roho yako ipone kivipi?CCM mmeshazoea damu sikushangai kwa komenti hii.
Acha kuwatisha vijana mbangaizaji tu wewe hapo Lumumba, ukiwatisha wewe sisi tutafanya nini sasa.Ndiyo yalitokea na wahuni wote walipatikana na kushughulikiwa ipasavyo.
Dikteta mbowe au lissu?Vyombo vya habari havikuitangaza wakati huo. Dikteta aliamrisha isitangazwe. Alikuwa na hofu kuwa ingechochea sehemu nyingine za nchi pia.
Mkuu hili siyo jambo jepesi. Usishangazwe kuanza kusikia “copy cats”.Ni watu wanaoneshana makali amaa??
Vyama vinavyoshiriki wizi wa kura ndivyo vinazalisha magaidi! CCM haina uwezo wa kushindana kwenye sanduku la kura tena!Chama cha siasa kikishindwa kufikia malengo yake ya kushika dola kwa muda mrefu kinageuka kuwa kikundi cha waasi na hatimae magaidi..
Nendeni taratibu, tunawaangalia.
Malipo ni hapa hapa duniani.Acha wavune walichopanda
Wale waliouliwa ZNZ sio watu..wanavuna walichopanda na bado dronesIsifike mahali wakaanza kuwaua maana uhai wa mtu hautafutwi sehemu yoyote.
Kwani kulikuwa na Uchaguzi?Haifai
Hii Ni Hatari
Vitendo Vya Hovyo Sana Hivi
Uchaguzi Umekwisha X 3
Haya ndo aliyataka Magufuli, bado shamba lake huko KaragweVitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736
Shamba halina chochote limejaa vichaka na tumbili tu.Haya ndo aliyataka Magufuli, bado shamba lake huko Karagwe
Kumbe unatambua wananchi wametendewa mabaya!!??Bad story - wananchi acheni kulipa baya kwa baya - lipeni jema kwa baya lolote mlotendewa
Tangu nimeamka hii ndio habari nzuri ya kwanza niliyokutana nayo kwa siku hii ya leo.Vitendo hivi vinazidi kushamiri nchini, watu wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Mwenyekiti wa Kijiji wamechoma moto magari na nyumba ya Msimamizi wa uchaguzi vile vile wamechoma moto magari na nyumba ya Mbunge.
View attachment 1626731
View attachment 1626732View attachment 1626733View attachment 1626734
View attachment 1626736