OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jamaa katukatalia goli halali kabisa la wazi. Ila nimeshangaa zaidi hiyo sababu iliyotolewa aisee, ila ndo fitna za mpira.View attachment 1762700
Sitii neno lolote,tazama mwenyewe. Ningekuwa Mkude huyu line 2 ningemzaba kibao
Na hiyo ndiyo sababu hatuwaoni kwa wingi kwenye mashindano hata ya CAF wakiwa waamuziView attachment 1762700
Sitii neno lolote,tazama mwenyewe. Ningekuwa Mkude huyu line 2 ningemzaba kibao
Kwani refa wa kati amesemaje!!Hawa ndio waamuzi wetu......inabidi ytuwavumilie tu ingawa wanakera sana.
Alishaamua kuwa ni goli, ila huyu wa pembeni akanyanyua bendera kuwa hakubaliani nae.Kwani refa wa kati amesemaje!!
Mwamuzi wa kati alishindwa kufanya maamuzi ya moja kwa moja.....Kwani refa wa kati amesemaje!!
Duh! Kweli safari ya mpira wetu bado ndefu sana. Marefa nao wanachangia kuturudisha nyuma, uwezo wa marefa wengi mdogo sana.View attachment 1762700
Sitii neno lolote,tazama mwenyewe. Ningekuwa Mkude huyu line 2 ningemzaba kibao
Chama mpaka wsshabiki alikuwa yeye ndio anawatuliza hongera kwake.Lakini Shabalala wamnyang'anye kitambaa cha unahodha maana sehemu anayotakiwa yeye kuongea na refa haendi matokeo yake unaona wachezaji wqandamizi kama Nyoni, Kapombe au Chama ndio.wanamkabili refa