Line 2 aliyekataa goli la Simba Sc ana akili timamu kweli?

Line 2 aliyekataa goli la Simba Sc ana akili timamu kweli?

Hawa ndio waamuzi wetu......inabidi tuwavumilie tu ingawa wanakera sana.....
 
Siku zote huwa nasema kwamba maamuzi mabovu uwanjani sio sababu ya hongo,ni viwango duni vya waamuzi.
Fikiria kama ndio lingekuwa goli la kusawazisha la gwambina limekataliwa,uto wangejitoa kwenye ligi.
 
ni aibu kuweka kituko cha line2 mtu kama yule kwenye mechi kama ile.

line2 gani yule?! wamemuokotea wapi? anaongea vitu vya ajabu kabisa!! wamchunguze vizuri inawezekana kabisa alipokea mlungula sio bure
 
Back
Top Bottom