Line 2 aliyekataa goli la Simba Sc ana akili timamu kweli?

Ule mpira wa kona ulitoka nje ule kama upinde vile kabla ya kumfikia mfungaji
 
Siku zote huwa nasema kwamba maamuzi mabovu uwanjani sio sababu ya hongo,ni viwango duni vya waamuzi.
Fikiria kama ndio lingekuwa goli la kusawazisha la gwambina limekataliwa,uto wangejitoa kwenye ligi.
Ukiondoa hayo maswla ya uto na ute point ya viwango duni kwa waamuzi ni halisi na hii inaakisi mfumo mzima wa uendeshaji wa shughuli zetu za kimichezo na hata zisizo za kimichezo kwamba zinaendeshwa na watu wenye maarifa duni kama alivyosema Asad
 
Unaweza kusema hivi ila kumbuka kuna mtu aliwahi kuahidi ubingwa na timu yake aliiomba isilaumu benchi la ufundi wala wachezaji nali alaumiwe yeye.

Unadhani anachezaje mechi ili lawama abebe yeye?
Ukiondoa hayo maswla ya uto na ute point ya viwango duni kwa waamuzi ni halisi na hii inaakisi mfumo mzima wa uendeshaji wa shughuli zetu za kimichezo na hata zisizo za kimichezo kwamba zinaendeshwa na watu wenye maarifa duni kama alivyosema Asad
 
Kupitia huu uzi nisaidieni Hivi Line 1 na Line2 Huwa wanatambulikananje? sababu wote Huwa wameshika vibendera sasa kipi hutofautisha kuwa huyu ni line 1 na mwingine line 2? Msaada Tafadhali.
 
Aliyekubali lile goli pekee la simba ambalo lilikuwa ni offside mwanzoni mwa msimu si ndo huyuhuyu mkuu?

Kabla hujaanza kumsema mtu kumbuka kama hajawahi kukuokoa.
 
Aliyekubali lile goli pekee la simba ambalo lilikuwa ni offside mwanzoni mwa msimu si ndo huyuhuyu mkuu?

Kabla hujaanza kumsema mtu kumbuka kama hajawahi kukuokoa.
Mbumbumbu huwa wanasahau mapema mkuu
 
Yanga kila siku wanalia kulaani waamuzi nyie mnashangilia....ndo mmegunduq leo?
 
Mwamuzi alikuwa sahihi,mpira ulitoka nje kabla ya kumfikia mfungaji.
 
Kupitia huu uzi nisaidieni Hivi Line 1 na Line2 Huwa wanatambulikananje? sababu wote Huwa wameshika vibendera sasa kipi hutofautisha kuwa huyu ni line 1 na mwingine line 2? Msaada Tafadhali.
Line 1 ni kibendela anayekaa upande wa Kamisaa, ambao pia ni upande wanaokaa wachezaji wa akiba na kocha wa timu zote mbili.
Line 2 ni upande usio na hao niliowataja katika line 1.
Aliyekataa goli la Simba na Gwambina ni kibendela wa line 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…