isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Naliwaalika Ushauri kwa TFF, bodi ya ligi na ligi kuu Tanzania hapa mjumuike kuleta mapendekezo yatakayo tatua hizi kero hamkutokea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la uto liko hapo yaani refa anafanya kosa wanailaumu simbaSiku zote huwa nasema kwamba maamuzi mabovu uwanjani sio sababu ya hongo,ni viwango duni vya waamuzi.
Fikiria kama ndio lingekuwa goli la kusawazisha la gwambina limekataliwa,uto wangejitoa kwenye ligi.
umenichekesha sana,yaani goli la Gwambina halafu ajitoe yangaSiku zote huwa nasema kwamba maamuzi mabovu uwanjani sio sababu ya hongo,ni viwango duni vya waamuzi.
Fikiria kama ndio lingekuwa goli la kusawazisha la gwambina limekataliwa,uto wangejitoa kwenye ligi.
Tshabalala haongei kabisa huyu dogoLakini Shabalala wamnyang'anye kitambaa cha unahodha maana sehemu anayotakiwa yeye kuongea na refa haendi matokeo yake unaona wachezaji wqandamizi kama Nyoni, Kapombe au Chama ndio.wanamkabili refa
Ukiondoa hayo maswla ya uto na ute point ya viwango duni kwa waamuzi ni halisi na hii inaakisi mfumo mzima wa uendeshaji wa shughuli zetu za kimichezo na hata zisizo za kimichezo kwamba zinaendeshwa na watu wenye maarifa duni kama alivyosema AsadSiku zote huwa nasema kwamba maamuzi mabovu uwanjani sio sababu ya hongo,ni viwango duni vya waamuzi.
Fikiria kama ndio lingekuwa goli la kusawazisha la gwambina limekataliwa,uto wangejitoa kwenye ligi.
Ukiondoa hayo maswla ya uto na ute point ya viwango duni kwa waamuzi ni halisi na hii inaakisi mfumo mzima wa uendeshaji wa shughuli zetu za kimichezo na hata zisizo za kimichezo kwamba zinaendeshwa na watu wenye maarifa duni kama alivyosema Asad
Mbumbumbu huwa wanasahau mapema mkuuAliyekubali lile goli pekee la simba ambalo lilikuwa ni offside mwanzoni mwa msimu si ndo huyuhuyu mkuu?
Kabla hujaanza kumsema mtu kumbuka kama hajawahi kukuokoa.
Line 1 ni kibendela anayekaa upande wa Kamisaa, ambao pia ni upande wanaokaa wachezaji wa akiba na kocha wa timu zote mbili.Kupitia huu uzi nisaidieni Hivi Line 1 na Line2 Huwa wanatambulikananje? sababu wote Huwa wameshika vibendera sasa kipi hutofautisha kuwa huyu ni line 1 na mwingine line 2? Msaada Tafadhali.
Hapa hata Mwakalebela angejitoa kifungoni kuja kulalamika hadharanifikiria kama angeinyima goli kama hili Yanga ikiwa haina goli. Angesababisha gharika
Unahitaji kutumia nguvu sana kuwashawishi watu kwa hoja hiiMwamuzi alikuwa sahihi,mpira ulitoka nje kabla ya kumfikia mfungaji.