Line up ya Simba SC

Line up ya Simba SC

Mbumbumbu ni wewe na mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 'utaniua bure'. Neno '... msio na akili nani aliyewaroga' lipo kwenye Biblia (Gal. 3:1).

Jina la Mbumbumbu kwa klabu ya Simba lilitolewa na Mhe. Ismail Aden Rage:

Kauli ya aina yake katika mkutano huo ilikuwa ile ya Rage kuwaita wanachama wa Simba ni ‘mbumbumbu’
Kufuatia kauli hiyo, Rage, alilazimika kuwaomba radhi wanachama hao zaidi ya 571 waliohudhuria mkutano huyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
“Napenda kuwaomba radhi wanachama wenzangu kutokana na nilivyosema tuache umbumbumbu, lakini sikuwa namaanisha kama wengi wenu mlivyoelewa,” alisema Rage.

Shaffih Dauda in Sports.: UFALME WA RAGE SIMBA WAFIKA KIKOMO, SWALI NANI KURITHI MIKOBA YAKE?, KAZI KWA WANACHAMA!!

LIWAZO ZITO BLOG: MDOMO NUSURA UMPONZE RAGE, AWAITA WANACHAMA MBUMBUMBU
 
Wewe ni lofa (mkapa 2015)

Sent using Jamii Forums mobile app
Umezidi kudhihirisha umbumbumbu wako. Kauli ya malofa itolewa kwa wapinzani wa CCM waliokuwa wakidai wanataka kuikomboa nchi wakati nchi ilishakombolewa tangu 1961. Kauli hiyo ni kwa wanasiasa na siyo kwa timu pendwa Young Africans SC International.

Kauli ya Mbumbumbu ilitolewa kwa wanachama, mashabiki na wapenzi wa Mikia FC, katika makundi hayo wewe uko katika kundi mojawapo hivyo kauli hiyo inakuhusu viz. wewe ni mbumbumbu!
 
Umezidi kudhihirisha umbumbumbu wako. Kauli ya malofa itolewa kwa wapinzani wa CCM waliokuwa wakidai wanataka kuikomboa nchi wakati nchi ilishakombolewa tangu 1961. Kauli hiyo ni kwa wanasiasa na siyo kwa timu pendwa Young Africans SC International.

Kauli ya Mbumbumbu ilitolewa kwa wanachama, mashabiki na wapenzi wa Mikia FC, katika makundi hayo wewe uko katika kundi mojawapo hivyo kauli hiyo inakuhusu viz. wewe ni mbumbumbu!
Wewe ni lofa full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jamaa ni garasa tu, halijatoa msaada wowote huko Rwanda.
Unashangaa nn hapo? Kwa timu yetu ya taifa dhaifu hata angeingia unaemkubali wewe bado tungepulizwa tu. Tatizo hatuna mipango ya kusuka wachezaji wakiwa wadogo kama nchi za wenzetu Zambia, Uganda, Ghana ,Nigeria n.k wenzetu wanatengeneza timu kwa mpango wa muda mrefu. Sisi tunalaumu tu hata akiwa Sammata na Ulimwengu na Faridi Mussa bado tunachezea na kulialia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira hujui..mwaka wa ngapi huu..Forward line ya Yanga inaongoza kwa magoli...numbers don't lie
wazeeeeeeeeeeee mnauza kaseke msuvaaaaa...mnaaachaa tambwe haaaaaa haaaaaaq...muuza unga ndani.....mmefuliaaaa tulieni mwone kaz mwez wa 8

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Usajili wa simba mbovu....umelenga mpango wa mwaka mmoja...huwezi kununua wachezaji bocco.niyonzima,nyoni ambao tayari wameshavuka peak ya uchezaji wao...ukamuuza ajib!!!umemnunua okwi safi...kwa nini usimuache mavugo?uwezo wa mavugo upo chini na kwa wanaojua mpira ameicost simba ubingwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Aishi Manula
2.Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Salimu Mbonde
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Haruna Niyonzima
9. John Boko
10. Laudit Mavugo
11. Emanuel Okwi

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika line up yako hapo juu Hakuna anayemfikia Mzamiru Yassin hasa hao viungo wako. Binafsi ni Yanga damu ila namkubali sana huyo dogo.
 
Back
Top Bottom