Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Umeanza kutumia simu leo?Unataka kuniambia hujui kama kuna kurejesha line? Umeshindwa ku renew? Acha utoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza kutumia simu leo?Unataka kuniambia hujui kama kuna kurejesha line? Umeshindwa ku renew? Acha utoto
Aise... Atoe advance asije akakugeuka akiiona line, angalau nusu au robo ya gharama awe ameshatoa kidogo.Habari kaka.
Nitumie Advance ya hyo Offer nianze kaz ya kuitafuta mkuu.
Ya voda mimi ilivuka mwezi, yaani siku hizi imekuwa laini ya kutulia sehemu moja ili kupunguza risk za kuibiwa.Labda lipa za voda, ila za mitandao mingine chap kwa haraka
Hata huyo aliyeokota hiyo simu alichofanya cha kwanza ni kutoa laini na kuitupa, na kwavile mlikuwa kigamboni kaitupa baharini huyo. Inshort hawezi kuipataJuzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni
Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo.
Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed.
Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 50,000/=
#Nitaifuata hapo kwa Gharama zangu....
Ntaongeza Offer kwa mtu ambae ameokota hiyo line offer 100,000/=
Ni zile halotel ambazo kila mwezi wanatoa ofa ya GB 10 bureee?😂😂😂😂😂 Alieiokota Offer kwake 50,000/= Hiyo Simu abaki anayo.
HahahahahaHuyu nahisi aliweka pesa wakati laini sio ya majina yake, (hakuisajili yeye) na aliyemsajilia kashakufa
Sio vya kucheka, inshort ni INNALLILAH.......Hahahahaha
Comment yako imenichekesha.Sio vya kucheka, inshort ni INNALLILAH.......
Umepoteza smartphone 10 bila shaka unakunywa bia. Wanywaji huwa tunapoteza simu kwa njia ya kawaida sana.Next time mkuu uwe unasave majina kwenye gmail Mimi nishapoteza smartphone zaidi ya 10 ila majina ninayo siku zote
watz wengi wavivu kutumia akiliMliosema akairenew ndio hamjaelewa kwa undani kwanini anaitaka simcard yenyewe iliyopotea. Ni kwamba, kuna vitu amevisave kama majina nk kwenye line husika. Pole kwa changamoto ya kupoteza line boss.
Kuna mjomba alipoteza simu kwa kuiweka chaji na kupitiwa usingizi kisha akaenda kulala kwenye gari. Malaya zake aliokuwa anawapa ofa kila siku ndio walimuibia. Aliwaweka kikao kesho yake wao na machawa wake akawaambia simu isipopatikana anawatema. Wakalinganisha faida ya simu na hasara ya kutemwa na boss wao bora waikose simu, wakairudisha wanavyojua wao.Umepoteza smartphone 10 bila shaka unakunywa bia. Wanywaji huwa tunapoteza simu kwa njia ya kawaida sana.
ukirenew namba za simu zinarud ?account zako za bank zinarud ?Unataka kuniambia hujui kama kuna kurejesha line? Umeshindwa ku renew? Acha utoto
mwenye usajili kashafariki😂😂Boya wew ka li new lain uko