Line ya Simu Cm Card. imepotea Mtu ambayo ameokota. Kuna Offer Tsh 50,000/=

Hata huyo aliyeokota hiyo simu alichofanya cha kwanza ni kutoa laini na kuitupa, na kwavile mlikuwa kigamboni kaitupa baharini huyo. Inshort hawezi kuipata
 
😂😂😂😂😂 Alieiokota Offer kwake 50,000/= Hiyo Simu abaki anayo.
Ni zile halotel ambazo kila mwezi wanatoa ofa ya GB 10 bureee?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Nenda Polisi kwanza ukapate ''loss report''! Then nenda Halotel uka renew line.
 
Mliosema akairenew ndio hamjaelewa kwa undani kwanini anaitaka simcard yenyewe iliyopotea. Ni kwamba, kuna vitu amevisave kama majina nk kwenye line husika. Pole kwa changamoto ya kupoteza line boss.
watz wengi wavivu kutumia akili
 
Umepoteza smartphone 10 bila shaka unakunywa bia. Wanywaji huwa tunapoteza simu kwa njia ya kawaida sana.
Kuna mjomba alipoteza simu kwa kuiweka chaji na kupitiwa usingizi kisha akaenda kulala kwenye gari. Malaya zake aliokuwa anawapa ofa kila siku ndio walimuibia. Aliwaweka kikao kesho yake wao na machawa wake akawaambia simu isipopatikana anawatema. Wakalinganisha faida ya simu na hasara ya kutemwa na boss wao bora waikose simu, wakairudisha wanavyojua wao.
 
Nipo Moshi ongeza dau nipate nauli ya kuja huko kigamboni kuitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…