Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Wakuu hivi simu zinatofautiana kuaccept line? Hii simu kila line inaingia gsm I mean lakini tatizo liko katika mawasiliano, line za voda wakati mwingine ukiitafuta hapatikani, Celtel zenyewe hupwaya na ukiitikisa tu network failure, Airtel mambo ya One8 inakamata lakini milimani tu, mabondeni hamna kitu, Zantel zenyewe ukiwa karibu na bahari inakamata sijui hii ni kwa watu wa Pwani tuu au vipi, Sasa mie nina line Ya Tigo, wakuu kote inakamata hata vijijini siku hizi pia mnajua bei yake rahisi, usiku napiga, mchana napiga, jioni ndo usiombe, hamna eti network busy wakati wowote, Tatizo ni moja tu, Kuiweka mara ya Kwanza ilikuwa ngumu kidogo...hii hali kuna mtu humu imemkuta wazee?