Line Yangu Ndo Inayofaa...

Line Yangu Ndo Inayofaa...

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Wakuu hivi simu zinatofautiana kuaccept line? Hii simu kila line inaingia gsm I mean lakini tatizo liko katika mawasiliano, line za voda wakati mwingine ukiitafuta hapatikani, Celtel zenyewe hupwaya na ukiitikisa tu network failure, Airtel mambo ya One8 inakamata lakini milimani tu, mabondeni hamna kitu, Zantel zenyewe ukiwa karibu na bahari inakamata sijui hii ni kwa watu wa Pwani tuu au vipi, Sasa mie nina line Ya Tigo, wakuu kote inakamata hata vijijini siku hizi pia mnajua bei yake rahisi, usiku napiga, mchana napiga, jioni ndo usiombe, hamna eti network busy wakati wowote, Tatizo ni moja tu, Kuiweka mara ya Kwanza ilikuwa ngumu kidogo...hii hali kuna mtu humu imemkuta wazee?
 
Tigo safi. We piga tu. usiku, mchana line fresh 24/7. Ukiona hiko busy, ujue kuna mtu mwingine anakupigia tigo yako
 
Mimi nimeanza kutumia TIGO siku nyingi sana, tangu enzi zile za "mche wa sababuni"! Japo watumiaji wakati huo walikuwa wachache na gharama ilikuwa ni kubwa lakini alhamdullillahi nilikuwa naruhusiwa kupiga, usiku na mchana!! Naona siku hizi imekuwa fasheni, wengi wanaipenda, yaani ukipiga inanasa maramoja ha haijalishi ni kwa muda gani unataka kulonga!! SIKU HIZI TIGO NI LINE NZURI KUTUMIA NA INASHIKA KILA MAHALI!!
 
mkuu watu hawajui hii ndo mtandao unaoongoza tz na sio voda kama wanavyojali, ile kipindi si ndo ilikuwa inaitwa Mobitel au sio ikaja ikawa Buzzy ni Bomba acha bwana, nilibuzzy vibaya mno ila kwa sasa TIGO natumia kwa raha zangu...haina limit mwezi mzima napiga 24 hour a day, 7days a week, 365 days a year....
 
Tigo safi. We piga tu. usiku, mchana line fresh 24/7. Ukiona hiko busy, ujue kuna mtu mwingine anakupigia tigo yako

kuna wenye line mbili mkuu, ila mie TIGO yangu mhhh inatumika once mzee....halafu wewe hujaona simu za line mbili mkuu? mkuu nimecheka hadi basi eti tigo yako inapigwa ukiona hivyo mhhhhhhhhh inabidi uswitch off...
 
jamani acheni usodoma. Mungu yupo nyie mjifanye wajanja na ma-tigo yenu hayo. mnadhani mnaweza kugeuza maumbile? thubutu! Mungu muumba ni Mungu, muacheni aitwe Mungu
 
Miss judith hivi ukidandia ile ya moshi kwa mbele itakuwaje? Mbona umeconclude mapema hivyo miss wetu? TiGo Ni kampuni ya simu Tz na nadhani hata wewe umewahi itumia au mpaka leo unaitumia sasa USODOMA sijui U THAILAND au u nini unatoaka wapi hapa......
 
haya bwana. best wishez na mawasiliano yenu, tena nasikia siku hizi ni nafuu zaidi
 
Nafuu zaidi tena? Duh na voucher zake nadhani zinapatikana kiurahis zaidi au sio bibie....

hivi wewe si ndio nimeona mahali unalalamika kuwa umekula samaki asiye na shombo? sasa haya mambo ya kuchakachua line unadhani shombo litatoka wapi?
 
Back
Top Bottom