Line za M2M kwa 12K

Wacha wizi line ni elfu 10 sio 12
 
Nakuelewa mkuu, hakuna shaka kwa hilo unaweza tu kuanzisha tangazo soko huria hili mkuu
Sifanyi kazi hiyo Nina kazi zangu zingine laini halotel pale elfu10 na bando. La gb 4 la wiki na hiyo ndo ya kwanza kutumia kabla ya hii ninayotumia sasa
 
Boss kwanini unatoza pesa zote hizo wakati hizo line ni bure!!!??? Kama unahitaji kupata chochote ungeweka angalau 5k kama malipo ya huduma na si zaidi ya hapo. Mimi nnazo line mbili za halotel na nimepata bure kabisa kwa wakala wao.
 
Tanzania fursa nyingi sana, sijui kwanini walimfukuza kiboko ya wachawi.
 
Boss kwanini unatoza pesa zote hizo wakati hizo line ni bure!!!??? Kama unahitaji kupata chochote ungeweka angalau 5k kama malipo ya huduma na si zaidi ya hapo. Mimi nnazo line mbili za halotel na nimepata bure kabisa kwa wakala wao.
Naomba connection ya huyo wakala, Mimi shop kwao waliniambia hawatoi kwa mtu binafsi bali kwa makampuni tu.
 
Hio unlimited inafanya kazi kweli sio unatumia week inaanza kuzingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…