Habari za jioni, kuna ofa ya line za kampuni moja ya mtandao wa simu zinazoitwa M2M ambazo ni maalumu kwa ajili ya Data tu na si vinginevyo
Nakusajilia popote ulipo endapo una namba ya Nida au kama ni mkazi wa Dar es Salaam tunaweza kukutana physically pia ofisi ipo karibu na kituo cha Muhimbili cha mwendokasi
Utaratibu kama uko mbali ni kwamba utaenda kwa wakala yoyote na kununua line mpya ambayo haijasajiliwa kisha utapiga picha baadhi ya details nitakazokuelekeza na kunitumia namba ya Nida na baada ya muda mfup. 89i tu usajili utakuwa umekamilika. Bei ya line moja ni 12K tu, Karibu Pm
View attachment 3239307