Linex asema Hamfahamu Matumbo Wa JF na Matumbo anapotosha Jamii

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043

Linex Sunday Mjeda

''Sidhani Kama wabunifu Wa mitandao hii ya kijamii Kama walifanya ubunifu huu kwa lengo la kupotosha Uma au kutofautisha watu Mh Zitto hajawahi kunikosea jambo lolote kiasi mpaka nikae kwenye kijiwe
nimseme kwa ubaya MTU huyo alieandika uo
ujinga hapo juu hata simfaham
nadhani
kibinadam si vema kutofautishana au kufanyiana unyama Kama huo maisha
hayatakwenda sawa tukiishi kiivi''

RE: = https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/666469-joseph-mbilinyi-sugu-amlipua-zitto-kabwe.html
 
Bora alivyopewa kubwaa,mana anajifanya born town kweli.
 
dah!noma kweli iunamshobokea mtu unajifanya unakaa nae skani kumbe hakujui wala nini!....dah!matumbo anaenda kama mdananda anajua watu wasiomjua...
 
kwahiyo matumbo alitunga hako ka habari

nilipita siasani nikaona alivyotiririka

Hoax tu ! Mbona with clear mind haiingii kichwani !

Alikaa na members wa Lekadutigite means alikaa nakina Diamond, Abdu kiba n.k na wote wakawa wanamwelezea kwauchungu !

Yaani imekaa kitoto sana ! Statement yake
 
Last edited by a moderator:

anasema alipokuja kuchoka kaongea kwa kujiamin mbaya duh

akija kuna jambo nataka kumuuliza
 
dah!noma kweli iunamshobokea mtu unajifanya unakaa nae skani kumbe hakujui wala nini!....dah!matumbo anaenda kama mdananda anajua watu wasiomjua...
Think outside the box!ulitegemea atakubali?yeye anajua Matumbo ni nani?anazushiwa mambo mangapi haji kukanusha haraka hivyo?maswali ni mengi inahitaji kuwa GT!vijana wanatumika na wanasiasa kama condom
 
Hatamjuaje wakati watu wanatumia majina fake na siku zote usiamini maneno ya msanii.Rejea msanii aliyempigia magoti chief Kiumbe.
 
Hee ndio kusutwa kushaanza hivyo teama umbea. ukiupenda umbea ujue na kusutwa kupo pembeni yako. ngoja nikatafute ngoma ya kigodoro mie tayari kwa kumsuta matumbo heheheheheheheheheheheh

huwa kuna watu nawaangalia sana humu oohh flani namjua, oohh kimepanda kimeshuka kumbe wanayatoa fbook na instagram. kama umecopy mahali si useme au ukae kimya kuliko kujitia umaarufu oohh flani tuko nae, namjua oohh sijui vile kumbe copy na kupaste. kantangazeeeeee au kanipublishhhhh
 
Last edited by a moderator:

fikiria mara mbili basi. matumbo ni nywila (id) ambayo si halisi. hata sura anayotumia matumbo si yake. wewe unajua matumbo jina lake na sura yake halisi ni ipi? je kama na yeye ni msanii we unajuaje? hebu msiwe wavivu wa kufikiri
 
Wewe unaefikiria vizuri !

Statement aliyoitoa matumbo inakuingia akili ?

Tuanzie hapo labda !
 
Swala hapa ni kusutwa. Kama ni kweli linex alisema au lah ni juu Yao.
 
Tatizo Kukaa kinondoni manyanya kunamfanya Matumbo ajione kama nayeye ni star.
 
Yesterday 15:32
#13
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 9th July 2011
Posts : 4,004
Rep Power : 1831
Likes Received1314
Likes Given989

[h=2]
Re: 'Sugu' amlipua Zitto[/h]
Katika wanasiasa niliokuwa nawakubali basi ni Zitto...Ata wakati wanaanza kumuanika nikajua ni siasa chafu wanamuonea......Nilikuja kuchoka nilipokaa na kina Linex wanamuziki members wa Leka Tugite waliponiambia namna alivyokuwa anawatumia wasanii kupiga pesa.....Yani jamaa walikuwa wanaongea kwa uchungu uwezi kuamini ni Zitto uyu uyu ... rip leka tugigite
 
Kigodoro kimekatazwa na Mr Kova...labda umtafutie kigoma cha uruguay au baikoko...asutwe hadi aumwe.
 
Last edited by a moderator:
Sasa nyie akina snipa na Muuza Sura mbna mnfikiria kitoto sana.!
Sasa we unadhan hilo jina la matumbo ni la ukweli au hyo avatar n ya ukweli.?
Mnashabikia ujinga utadhan watoto wadogo bhana..

Labda matumbo ni best wa linex.?au labda n msanii mwenzake.?

Kwa kawaida m siwaaminigi wasanii wa bongo fleva,REf:diamnd alivotudanganya amenunua v8 after 2weeks chief kiumbe akalichukua gar lake.!

Au lulu alisema hana mpenzi kwenye kipnd cha mkasi na kanumba akasema hanywi pombe kwenye kipnd hcohcho hazijaisha wiki2 likatokea tukio tukajua Lulu alikua mpenz wa kanumba,na kanumba alikufa na pombe kichwan..

Msimtetee zitto kwa kumponda matumbo
 
Last edited by a moderator:
Hapa JF unaweza kutetwa na mkeo anayetumia ID feki ukaishia kusema huyo mtu simjui.....:der:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…