Sasa nyie akina
snipa na
Muuza Sura mbna mnfikiria kitoto sana.!
Sasa we unadhan hilo jina la matumbo ni la ukweli au hyo avatar n ya ukweli.?
Mnashabikia ujinga utadhan watoto wadogo bhana..
Labda matumbo ni best wa linex.?au labda n msanii mwenzake.?
Kwa kawaida m siwaaminigi wasanii wa bongo fleva,REf:diamnd alivotudanganya amenunua v8 after 2weeks chief kiumbe akalichukua gar lake.!
Au lulu alisema hana mpenzi kwenye kipnd cha mkasi na kanumba akasema hanywi pombe kwenye kipnd hcohcho hazijaisha wiki2 likatokea tukio tukajua Lulu alikua mpenz wa kanumba,na kanumba alikufa na pombe kichwan..
Msimtetee zitto kwa kumponda
matumbo