Linex asema Hamfahamu Matumbo Wa JF na Matumbo anapotosha Jamii

Linex asema Hamfahamu Matumbo Wa JF na Matumbo anapotosha Jamii

huyo utumbo si member wa jf ebu afunguliwe thread ajitete au aisafishe jf ujue tunadharaulika ma greatthinker kwa sababu ya mpuuzi mmoja

kulu dauni bulaza! nijitetee nini sasa? kuna cha kujitetea hapa.. alafu mie nikianza matusi utauweza muziki au una beep mimba?
 
Mkuu wewe unamwamini nani? au unamwamini Freeman A. Mbowe aliyeutangazia umma kwamba amerudisha shangingi la KUB lakini baadae akaenda kulichukua kimya kimya??
Huwaamini wasanii halafu unamwamini Sugu!!! kwani Sugu sio msanii

Mpaka jana nilikua sijamuamini SUGu ila baada ya kusikia majibu ya zitto nmemuamin SUGU asilimia 100,.
Zitto hajajibu hoja ya transaction ya pesa zaidi kulilia huruma ya waTZ kwa kuuguliwa na maake..
Point bado ipo palepale,je jina halisi la matumbo ndo hilohilo,na hyo avatar yake ndo sura yake,LINEX kakurupuka kwa kumuogopa zitto..
Ila kama mnavodai kuwa zitto n smart,basi atakua smart enough kutambua kuwa LINEX kasema kweli..
 
Last edited by a moderator:
Sasa ninaamini kuwa uwezo wa watanzania wengi ni unaangukia wastani wa IQ 72,nina huruma juu ya wale waliolala huko vijijini,si kutokana na uwezo wao mdogo bali ni kwa kukosa elimu kwani wengi waliopata ELIMU hawakustahili.Ni aibu hata kwako Matola kwa kushindwa.YOTE HAYA NI UVIVU WA KUSOMA VITABU VYA KUFIKIRISHA na kupendelea Shigongo wakati huo huo shuleni mlimtumia Nyambari na notes za walimu.Too low.
 
Last edited by a moderator:
Hawa wadogo waoga kusema kweli hata Kama wananyonywa nidhamu ya uoga hii si wamekubali kutumiwa kisiasa
Na wataumia wakiona figure iliyoingia kwa akaunti na mchange akaitoa
Wafananishe na walizopewa mmoja mmoja Kama malipo
 
Kwan Matumbo si jina feki au na picha fake sasa atajuaje,mambo mengine banaa
 
Sasa nyie akina snipa na Muuza Sura mbna mnfikiria kitoto sana.!
Sasa we unadhan hilo jina la matumbo ni la ukweli au hyo avatar n ya ukweli.?
Mnashabikia ujinga utadhan watoto wadogo bhana..

Labda matumbo ni best wa linex.?au labda n msanii mwenzake.?

Kwa kawaida m siwaaminigi wasanii wa bongo fleva,REf:diamnd alivotudanganya amenunua v8 after 2weeks chief kiumbe akalichukua gar lake.!

Au lulu alisema hana mpenzi kwenye kipnd cha mkasi na kanumba akasema hanywi pombe kwenye kipnd hcohcho hazijaisha wiki2 likatokea tukio tukajua Lulu alikua mpenz wa kanumba,na kanumba alikufa na pombe kichwan..

Msimtetee zitto kwa kumponda matumbo

Mimi mwenyewe kwa hili matumbo namtetea ,maana sijaona mantiki bado, huyo linex kakana kutomjua matumbo wa jamii forum lakini sidhan kama huyo jamaa anatumia hilo jina had kitaa, yaan ni sawa mtu aseme hamjui warumi wa jamii forum, sasa kwan nani ananijua mm humu?? Kama msanii au mtu yeyote maarufu?? Mi nadhan wanaomponda matumbo hawajatumia busara na hawajafikiria vizur
 
Last edited by a moderator:
Msipoteze muda kujadili kilichosemwa na member wa JF, coz ni wachache sana...kama sikosei ni asilimia zisizozidi tano ndio wanatumia majina halisi.....na sababu wote tunajua ni ili kupata uhuru wa kubwatuka ya rohoni bila wasiwasi wa kuviziwa njiani.

Hivyo huyo matumbo kama mwana JF yeyote, anaweza akatumia mwanya huo kuandika uongo ili tu kutetea anachoamini...na vile vile wapo kwa kutumia mwanya huo huo wanaeleza ukweli na hata wakati mwingine wanatuwekea na vielelezo vya ushahidi.

Naamini sio Zito wala Linex anawez kuingia kirahisi kwenye mtego kama huu wa kuchonganishwa....na ningemuelewa zaidi Linex kama angepotezea hilo andiko kuliko kupanic...unlesss kama haielewi JF.

Hata wanaodhalilishana huku wengine ni ndugu wa damu, mke na mume, kaka na dada, mtoto na mzazi wake....na usahihi wa taarifa yoyote utategemea akili za anayesoma....JF ni akili za kuambiwa changanya na zako.
 
kweli we ni fyatu umemaliza mjadala kwa maneno ya busara .
 
matumbo njoo utuambie na huku
na The bold yuko wapi!!!!!!!!!!!!!!

Jamani huu huyu jamaa ananitania ama vipi! Kuna memba mwenzetu huyu bwana matumbo ati naye ameniPM kuwa siwezi kuliona jua la kesho kutwa lazima anishughulikie!

Cc invisible
Paw
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom