RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Yesterday 15:32
#13![]()
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 9th July 2011
Posts : 4,004
Rep Power : 1831
Likes Received1314
Likes Given989
Re: 'Sugu' amlipua Zitto![]()
Katika wanasiasa niliokuwa nawakubali basi ni Zitto...Ata wakati wanaanza kumuanika nikajua ni siasa chafu wanamuonea......Nilikuja kuchoka nilipokaa na kina Linex wanamuziki members wa Leka Tugite waliponiambia namna alivyokuwa anawatumia wasanii kupiga pesa.....Yani jamaa walikuwa wanaongea kwa uchungu uwezi kuamini ni Zitto uyu uyu ... rip leka tugigite
mkuu naona uko mstari wa mbele sana kumtete Zitto ni nani yako?? au na wewe uko kwenye lile kundi linalomzunguka!!!??