Linex asema Hamfahamu Matumbo Wa JF na Matumbo anapotosha Jamii


mkuu naona uko mstari wa mbele sana kumtete Zitto ni nani yako?? au na wewe uko kwenye lile kundi linalomzunguka!!!??
 


Weka kwanza point ya maana !

Usiandike pumba !
 
Last edited by a moderator:
ni kweli atakuwa hamfahamu matumbo wa jf , sababu vilevile matumbo sio jina halisi la matumbo, hivyo atakuwa anamfahamu kwa jina lake halisi!!
 
ni kweli atakuwa hamfahamu matumbo wa jf , sababu vilevile matumbo sio jina halisi la matumbo, hivyo atakuwa anamfahamu kwa jina lake halisi!

Matumbo ni msanii ila hajatoka na anaishi kinondoni anatumia hilo hilo
 

Mkuu wewe unamwamini nani? au unamwamini Freeman A. Mbowe aliyeutangazia umma kwamba amerudisha shangingi la KUB lakini baadae akaenda kulichukua kimya kimya??
Huwaamini wasanii halafu unamwamini Sugu!!! kwani Sugu sio msanii
 
Last edited by a moderator:
huyo utumbo si member wa jf ebu afunguliwe thread ajitete au aisafishe jf ujue tunadharaulika ma greatthinker kwa sababu ya mpuuzi mmoja
 
Mkuu wewe unamwamini nani? au unamwamini Freeman A. Mbowe aliyeutangazia umma kwamba amerudisha shangingi la KUB lakini baadae akaenda kulichukua kimya kimya??
Huwaamini wasanii halafu unamwamini Sugu!!! kwani Sugu sio msanii

Ha ha ha ha ha Freeman Alikael MBOOwe
 
Last edited by a moderator:
Kwani nani anamjua matumbo?unaweza kuta ni meneja wa Linex,siwezi kumwamini Linex hapo kajibu hivo kwa vile hajui matumbo ni nani,angeongea boss wake au mtu mzito usingemwona anakanusha.

Kwani nani hakumbuki PNC alipiga magoti kama anasulubiwa,watu waliona ni udhalilishwaji akaja kusema hajadhalilishwa.
 
dah!noma kweli iunamshobokea mtu unajifanya unakaa nae skani kumbe hakujui wala nini!....dah!matumbo anaenda kama mdananda anajua watu wasiomjua...

Bab...kama umeshika mkuki usimchokoze mwenye AK 47 ,,u know wat I mean right !?
 
bab,,hivi mtu akikuzidi akili kwa nini usikubali tu...unafikiri kunitukana ndio unanikomesha au? mimi nimekuzidi akili. ilo kubali maana ujawahi nijibu hoja kazi yako mitusi..hizi akili nyingi huziwezi..
 
fikiria mara mbili basi. matumbo ni nywila (id) ambayo si halisi. hata sura anayotumia matumbo si yake. wewe unajua matumbo jina lake na sura yake halisi ni ipi? je kama na yeye ni msanii we unajuaje? hebu msiwe wavivu wa kufikiri

una kichwa kizuri sana wewe.
 
Hapa JF unaweza kutetwa na mkeo anayetumia ID feki ukaishia kusema huyo mtu simjui.....:der:

Akili kubwa nyingine hii...wasaidieni wasanii wawe na exposure na social networks,muziki wa sasa bila kujua aya mambo unafeli...eti msanii wa kizazi kipya hajui hizi ishu za forums.
 
mkuu naona uko mstari wa mbele sana kumtete Zitto ni nani yako?? au na wewe uko kwenye lile kundi linalomzunguka!!!??

uyu Ruttashobolwa jana alinibishia sana...Matokeo yake utetezi wa Zitto ndio nilichokizungumza...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…