wahusika wa humu wakina nani maana hata mie ni muhusika binamu
wawaongelea wahusika gan
Cuzooo Vp?......You Are Missed...Uko Cool Sana...
Najipanga binamu nitoke vip
binam uko kimya wallah
Money Stunna kafiwa baba ndio maana unaona amekuwa adim huku ndanTunapumzika kidogo na wengine walete swagg mpya humu, si unaona akina mwakibete wanavyokuja na mautamu ya aina yake, mda mwingine hata mm najichoka binamu na maada zangu, but ntarud maana money stunna nae siku hizi hayupo so nakua bored sana
Money Stunna kafiwa baba ndio maana unaona amekuwa adim huku ndan