Kiukweli huyu mwamba anajitahidi sana sana na sijapata ona nani anaweza kuifikia sauti yake. Nimeangalia na kusikiliza pini yake ya "Kwa Hela" mara mia sijaona nani anaweza hata kukaribia uzuri wake. Ninachojiuliza kwa nini huyu jamaa hatoki? Wakuu, kwa mafans wake hebu tupieni mawili matatu, wapi jamaa anakwama? Mbona joint zake ni kali sana?
Sio fitina mkuu kuna kipindi watu inakuwa kama wanakuupuuzia tu hata ufanye nini wanakuwa kama hawakuoni wala kukusikia.
Tena sasa hivi ndiyo kabisa Alikiba na diamond wameua kabisa yani macho ya watanzania wanawaona hawa ili walau upate atention inabidi ujipachike kwa mmoja wapo.
Linex anajua ila watanzania wamempuuzia maskini