Linex; Sauti iliayo Nyikani!

Linex; Sauti iliayo Nyikani!

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,544
Reaction score
2,169
Wakuu Heshima Mbele,

Kiukweli huyu mwamba anajitahidi sana sana na sijapata ona nani anaweza kuifikia sauti yake. Nimeangalia na kusikiliza pini yake ya "Kwa Hela" mara mia sijaona nani anaweza hata kukaribia uzuri wake. Ninachojiuliza kwa nini huyu jamaa hatoki? Wakuu, kwa mafans wake hebu tupieni mawili matatu, wapi jamaa anakwama? Mbona joint zake ni kali sana?

Pangu Pakavu.
 
Kuna moja kaimba na Christian Bella inaitwa hewala jamaa anajua sema bongo fitna nyingi
 
Sure mkuu, ila jamaa inabidi awe kichwa ngumu vinginevyo hatoboi
 
Kuna moja kaimba na Christian Bella inaitwa hewala jamaa anajua sema bongo fitna nyingi
Sio fitina mkuu kuna kipindi watu inakuwa kama wanakuupuuzia tu hata ufanye nini wanakuwa kama hawakuoni wala kukusikia.
Tena sasa hivi ndiyo kabisa Alikiba na diamond wameua kabisa yani macho ya watanzania wanawaona hawa ili walau upate atention inabidi ujipachike kwa mmoja wapo.
Linex anajua ila watanzania wamempuuzia maskini
 
Jamaa anajua ila waliopenya wanajua zaidi kilichopo akaze buti ipo cku atatusua tu
 
Natamaaaaaani, kuwa bacheraaaa. Yuko vzr huyu jamaa
 
Hata mie najiuliza kwa nn jina lake sio kubwa kivile ukilinganisha Na nyimbo zake.
Jamaaa anajua sna
 
Toka wafanye ngoma ya Salima na Diamond jamaa kapotea kabisa.

Diamond kama kawaida yake kaiba nyota yake
 
Back
Top Bottom