Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.

Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic

IMG_20210823_181957.jpg

IMG_20210823_182123.jpg
 
Mtoa mada unaelewa nini ukiambiwa GOVERNMENT OFFICIALS??????
unadhani ni mtu mmoja hapo?
 
Duh! Kweli humu ndani "hatuna akili" issue sio government officials tu ni aina ya hao government officials
Umeona usivyokuwa na akili?
Yeye ni mwenyekiti wa chama na Rais, ni vibaya akiambatana na viongozi wa Chama chake? Unahisi kila kitu ni gharama za serikali?
 
Back
Top Bottom