Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.

Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic

View attachment 1905090

View attachment 1905091
Team ras nungwi 'mama' watakwambia anashauliwa vibaya...kama vile hana akili za kupembua
 
Umeona usivyokuwa na akili?
Yeye ni mwenyekiti wa chama na Rais, ni vibaya akiambatana na viongozi wa Chama chake? Unahisi kila kitu ni gharama za serikali?
Shukrani sina akili, wewe una akili sana hadi unajibu vitu ambavyo ni nje ya topic. Jitahidi kuficha ujinga wako na usipende kuanzisha ligi usizoweza
 
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.

Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic

View attachment 1905090

View attachment 1905091
Tanzania inawakilishwa na CCM, haiwakilishiw na serikali. Mama samia anatokea kuwa ni Rais pia lakini most likely anakwenda kama mwenyekiti wa CCM.
 
Ujinga uliopitiliza, hayo hutomsikia Gwajima akiyapinga huko ufufukoni na kuliko kosa uzima.

Hii nchi kuna haja ya kufanya mambo nje ya keyboard.

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Tanzania inawakilishwa na CCM, haiwakilishiw na serikali. Mama samia anatokea kuwa ni Rais pia lakini most likely anakwenda kama mwenyekiti wa CCM.
Sina shida na yeye, soma uelewe hoja ilipo! Hizi fursa unatakiwa uzitumie kujenga network kwa maslahi ya nchi na sio chama! Hebu nambie Shaka ana msaada gani kwenye serikali (kiutendaji) au unaweza kumlinganisha Shaka na Waziri was Mambo ya Nje?
 
Yeah lakini hawajasema Senior Party officials. Sisi tumejaza wanaccm kana kwamba rais anaenda kuwakilisha chama badala ya serikali
Well to me Money Spent is Money Spent I had rather aende peke yake..., kwahio number ya wanaokwenda matters hususan kipindi hiki kuna excuse ya Covid wangeweza kwenda watu wasiozidi hata watano..., kwahio ningefurahi kama tusingejaza watu kabisa...
 
Nimecheka kama mazuri vile. Kwa kweli CCM zimetamaluki! Imagine hatuna uwezo wa kuwatoa hawa jamaa kwa kura. Na Zirro amemua kufa nao!
Acha tu ila kuna mambo yanatia hasira sana nchi hii. Huyu maza yaani simuelewi kabisa, katiba mpya ni muhimu sana ubinafsi wa viongozi wetu unatucost sana.
 
Botswana wapo mbele sanaaa. Wamemchukua na kiongozi wa upinzani kuonyesha busara, hekima na ushirikiano. Sisi hadi Mwenyekiti wa Mkoa,. Very low
 
Duh. Mama meshindwa kabisa kutofautosha ziara ya serikali na ya Chama.

Anyways nazani wanapeana per diems Maisha yasogee.
 
Back
Top Bottom