Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

Rais ameshindwa kujielewa kuwa yeye ni Rais wa nchi, kwa barua hiyo ni wazi kuwa anajiona kama katibu mkuu wa CCM...

Shame
Naona WAZENJI wamepata UWAKILISHI wa kutosha!
Hakuona haja ya kuongozana na wa upande wa pili, bado anaona hawajamaliza kuunda lile baraza lao!
 
Huyu Pinda naona anakuwa na sehemu muhimu katika kulipindisha taifa hili.

Itabidi sasa tuanze kuwataja mmoja mmoja katika hawa watu wnaovuruga taifa hili.

Mizengo Pinda naona kashika sehemu kubwa, na toka sasa ahesabike kuwa mmoja wa maadui wakubwa wa nchi hii.
Mzee Pinda, Mizengo Kayanza kafanyeje?
 
Mkuu unasema Botswana wanaenda kuimalisha Networking ya Biashara, kwenye hiyo huo msafara wa Botswana kuna wafanyabiashara? Au Rais Mogae ndiye mfanyabiashara? Au huyo Head of Opposition ni muwekezaji?
 
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.

Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic

View attachment 1905090

View attachment 1905091
Hizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
 
Umeona usivyokuwa na akili?
Yeye ni mwenyekiti wa chama na Rais, ni vibaya akiambatana na viongozi wa Chama chake? Unahisi kila kitu ni gharama za serikali?
Tuhakikishie kuwa hao viongozi wa CCM hawasafiri kwa gharama za serikali wakati wapo katika orodha moja na viongozi wa serikali.
 
Hizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
Utaiondoa Botswana katika kundi la nchi zilizokuwa mstari wa mbele katika ukombozi; hiyo ni historia ya wapi?

Hata hivyo huwezi kusema "Tanzania imegomboa..." wewe ni kati ya watu msiojua hata kujieleza mkaeleweka vizuri bila ya kujionyesha kuwa ni watu wa kujivuna kusikokuwa na lazima.
 
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.

Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic

View attachment 1905090

View attachment 1905091
labda WAMEGAWANA MAJUKUMU! Botswana alete viongozi sisi tuje na kikundi cha ngoma

ila sio vizuri Rais kusafiri na watu wote hao! hapo kaondoka na chama! likitokea la kutokea inakuwa shida
 
Nchi Hii Ngumu Sana
Nani Aliamini Gwajima Doctor Angesema Johnson And Johnson Haiathi Dyu ~Dyu 😀😂😁😃
 
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.

Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic

View attachment 1905090

View attachment 1905091
Tunakatwa tozo hivyo hela ya kutapanya ipo nyingi tu
 
N
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.

Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic

View attachment 1905090

View attachment 1905091
Na hiyo Botswana wapo vizuri zaidi kiuchumi. Umeona pia kwenye msafara yupo kiongozi wa upinzani? Hapa kwetu kiongozi wa upinzani yupo jela.
 
Hizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
Mkuu chama cha ukombozi ni TANU, CCM ni mtoto wa TANU na AFROSHIRAZ. Tunaelekea kupata mjukuu muda si mrefu
 
Hizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
Aisee yaani jamaa kakurahisishia umeshindwa kufanya analysis. Hakuna mtu amepinga Shaka na WANEC wenzake kwenda huko Zambezia river bali amekwambia uangalie tofauti ya delegation.

Gaborone huko amekua included kiongozi wa upinzani, kwetu ni chama tawala tupu (utamaduni wetu) still hata ukiangalia aliyeshinda Zambia si chama chao tawala na ni upinzani na ni chama hata tusichonacho urafiki na chama chetu tawala. Si miongoni mwa vyama rafiki /vya ukombozi kusini mwa Afrika.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.

Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic

View attachment 1905090

View attachment 1905091
Tanzania kuongoza a na Mpinzani ni mwiko..... Inaelekea mchawi wa CCM ndivyo alivyowaelekeza.
 
Back
Top Bottom