Aisee yaani jamaa kakurahisishia umeshindwa kufanya analysis. Hakuna mtu amepinga Shaka na WANEC wenzake kwenda huko Zambezia river bali amekwambia uangalie tofauti ya delegation.
Gaborone huko amekua included kiongozi wa upinzani, kwetu ni chama tawala tupu (utamaduni wetu) still hata ukiangalia aliyeshinda Zambia si chama chao tawala na ni upinzani na ni chama hata tusichonacho urafiki na chama chetu tawala. Si miongoni mwa vyama rafiki /vya ukombozi kusini mwa Afrika.
Sent from my SM-G9350 using
JamiiForums mobile app