Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #81
Amen AmenWell said mkuu,giza haindolewi kwa giza bali nuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen AmenWell said mkuu,giza haindolewi kwa giza bali nuru.
Anapenda ligi, hakuna namba anajua Shaka au Shekifu government officialKwani hao makada wa CCM ni government officials? Au hauelewi maana ya gvt officials?
Hahahahahha Mpwa huna adabu hahahahah shenzi zako huwezi kunifanya nicheke nionekane bwege hivi. Dah kwahio Tz tunapeleka Mdundiko??labda WAMEGAWANA MAJUKUMU! Botswana alete viongozi sisi tuje na kikundi cha ngoma
ila sio vizuri Rais kusafiri na watu wote hao! hapo kaondoka na chama! likitokea la kutokea inakuwa shida
Anataka tubishane etiAcha kutetea ujinga
Kwahio bado wanahitaji Ukombozi? Kama hapana, basi kwenda kwake ni useless na mtoa mada pia. Angeenda Waziri wa Uchukuzi kama tunaye.....Waziri wa mambo ya uwekezaji kama tunaye....Hizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
mie sina tatizo na Mama Kabisa! ilahicho kikundi mmmmh! mchirikuHahahahahha Mpwa huna adabu hahahahah shenzi zako huwezi kunifanya nicheke nionekane bwege hivi. Dah kwahio Tz tunapeleka Mdundiko??
Tufanye ayo uliyoongea kwel ,je apo kaenda shaka tu kutoka iko chama unachosema kimeikomboa zambiaHizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
Kwahio wewe networking ni hadi abebe wafanyabiashara kwenye kuapishwa?? DuhMkuu unasema Botswana wanaenda kuimalisha Networking ya Biashara, kwenye hiyo huo msafara wa Botswana kuna wafanyabiashara? Au Rais Mogae ndiye mfanyabiashara? Au huyo Head of Opposition ni muwekezaji?
Hahahaa Mpwa acha ujinga hahahaa wangeenda na OTTU Jazz Bandmie sina tatizo na Mama Kabisa! ilahicho kikundi mmmmh! mchiriku
Haahahaah ndio swali nililiomuuliza pia. Haahhaahah Nchi ngumu sana hiiTufanye ayo uliyoongea kwel ,je apo kaenda shaka tu kutoka iko chama unachosema kimeikomboa zambia
DahBotswana wameandika wanarudi siku hiyohiyo, hao wengine wameandika tarehe ya kwenda tu usikute wakasubiri na mnada kabisa wa nyama choma wa zambia maana sasa
Ndio ujinga WA watanzania hapo wanahisi muda wote ni pesa za serikali.Umeona usivyokuwa na akili?
Yeye ni mwenyekiti wa chama na Rais, ni vibaya akiambatana na viongozi wa Chama chake? Unahisi kila kitu ni gharama za serikali?
Kwahio ni pesa za CCM? Kwahio CCM wanatumia "pesa za chama" kwenye ziara ya kiserikali?? MNA elimu gani nyie?Ndio ujinga WA watanzania hapo wanahisi muda wote ni pesa za serikali.
Every day is Togwa dayUjinga uliopitiliza, hayo hutomsikia Gwajima akiyapinga huko ufufukoni na kuliko kosa uzima.
Hii nchi kuna haja ya kufanya mambo nje ya keyboard.
Everyday is Saturday............................. 😎
"huyu Haniu mshezi kweli"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni mwandishi wa Barua wetu mswahili tu kaipenda kujaza majina bila sababu. Halafu anaziba comments kwenye page, huyu Haniu mshezi kweli
Sajili Kanisa lakoUjinga uliopitiliza, hayo hutomsikia Gwajima akiyapinga huko ufufukoni na kuliko kosa uzima.
Hii nchi kuna haja ya kufanya mambo nje ya keyboard.
Everyday is Saturday............................. 😎
Waache waendelee kutafuna hela zetuWakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic
View attachment 1905090
View attachment 1905091
Kosa letu ni kutaja all delegatesWakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM.
Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki madarakani.....pathetic
View attachment 1905090
View attachment 1905091