Linganisha pesa za CAF walizopata Simba na Yanga

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Soma kwa makini na ikumbukwe bado Yanga anaendelea.

cacccl.jpg
 
Jamaa una hangaika sana ,nisijue labda km wewe ndie digital maneger hapo yanga .
Ila km sio wewe nakuonea huruma una ego sana .
Kwa siku moja nyuzi Zaid ya kumi kisa tu kutaka kuilinganisha Simba na Yanga.
Tufanye yanga yanga ni mkubwa Kwa Simba Kila kitu ,vipi ukisikia hayo kwenye account Yako unapata kias Gani?
Ukiweka sana u serious kwenye mambo ya Simba na Yanga mwisho unageuka kituko pia unajianika wazwaz kuwa wewe ni mtu wa aina gan hata kwenye maisha ya uhalisia nje na hizi fake IDs
 
Na wakichukua kombe la shirikisho hii nchi mtakoma [emoji23]
 
Jamaa una hangaika sana ,nisijue labda km wewe ndie digital maneger hapo yanga .
Ila km sio wewe nakuonea huruma una ego sana .
Kwa siku moja nyuzi Zaid ya kumi kisa tu kutaka kuilinganisha Simba na Yanga.
Tufanye yanga yanga ni mkubwa Kwa Simba Kila kitu ,vipi ukisikia hayo kwenye account Yako unapata kias Gani?
Ukiweka sana u serious kwenye mambo ya Simba na Yanga mwisho unageuka kituko pia unajianika wazwaz kuwa wewe ni mtu wa aina gan hata kwenye maisha ya uhalisia nje na hizi fake IDs
Acha awanyooshe, mliwatesa sana wakati wenu.
 
Kwani Yanga inagombea pesa au kombe? Investment iliyowekwa kwa ajili ya kupata kombe ni kubwa kuliko hiyo zawadi ...
Faida ya kupata kombe au kumshinda mpinzani kwenye michezo huwa haipo kwenye fedha Bali ni ile power, authority ambayo wote tunaipigania
 
Acha awanyooshe, mliwatesa sana wakati wenu.
Atawanyosha majobless ambao hawana kazi za kufanya.
Mpira ni utan na starehe ila usiuchukulie serious na kutumia nguvu kama fanyavyo huyu jamaa.
Kwa siku unakuta nyuzi Hadi ishirini za aina Moja utofaut misemo tu.
Unajiuliza huyu mtu mbona km mpira umechukua nafasi kubwa kwenye maisha yake ya Kila cku !!! Utan upo sana tu ila pia Kuna muda wa kutafuta pesa ndio maana nikasema labda km analipwa Kwa hili hapo Sina tatizo kabisa ila km mtu hulipwi na unashinda Jf kuanzisha manyuzi kibao huo nao ni utahira
 
Back
Top Bottom