Lini Afrika tutaacha kuwategemea Wazungu kuwasaidia watu wetu?

Lini Afrika tutaacha kuwategemea Wazungu kuwasaidia watu wetu?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Hao watoto wasingepata msaada kama hao Wazungu wasingewabaini?
 

Attachments

  • Baby_Moses__The_Full_Story(144p).mp4
    10.1 MB
  • Aid_Worker_Saves_Nigerian_Boy_Accused_Of_Being_A_Witch(360p).mp4
    3.4 MB
Wanalipa madeni yao tena wanatakiwa watoe zaidi ya hapo
 
Wazungu ndio wanao wategemea Waafrika.
Kivipi mkuu?

Mbona karibia kila kitu kinachotumiwa na Mwafrika, ukiacha vyakula, inatoka kwa Wazungu?
1. Magari
2. Simu
3. Madawa ya hospitalini na vifaa tiba
4. Madawa ya kufubaza virusi vya VVU
5. Silaha za kisasa za kivita
6. Ndege
7. Vifaa mbalimbali vya electronics
8. Etc
 
Back
Top Bottom