VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
CCM na Serikali yake walituaminisha kuwa Hussein Bashe,aliyekuwa anagombea Ubunge kule Tabora,si mtanzania na wala hajawahi kuwa raia wa Tanzania. Kutokana na hilo,Bashe akaondolewa kwenye harakati za Ubunge huo na nafasi akapewa Dr.Hamis Kigwangalla.
Kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM wa mwaka huu,ni Bashe huyohuyo aliyejitokeza kugombea Nafasi za Ujumbe wa NEC kutokea Wilayani. Yeye pamoja na Mshindani wake wa karibu,Dr.Kigwangalla sasa wamebatizwa jina la 'Wazee wa Bastola na Vitumbua'. Lini Bashe amepata uraia? CCM itaongozwaje na asiye raia wa nchi hii?
mkuu mbona umekuwa mkali sana badala ya kumjibu vizuri, ulichosikia wewe si lazima na wewe kila mtu akisikie, ungemjibu vizuri tuu!Kati ya watu bogus na ambao wako nyuma kihabari ni wewe ,baada tu ya kikao cha nec kuisha kilichomkata bashe waziri wa mambo ya ndani by that tym l.masha pamoja na kamishna uhamiaji walikiri kuwa bashe alikua ni raia,au umetumwa na riz1 acheni kutumiwa.
Kati ya watu bogus na ambao wako nyuma kihabari ni wewe ,baada tu ya kikao cha nec kuisha kilichomkata bashe waziri wa mambo ya ndani by that tym l.masha pamoja na kamishna uhamiaji walikiri kuwa bashe alikua ni raia,au umetumwa na riz1 acheni kutumiwa.
Mkuu usijibu kama viongozi wa CCM hapa sio kila unachokijua wewe na wengine wanakijua ndio maana akaulizaKati ya watu bogus na ambao wako nyuma kihabari ni wewe ,baada tu ya kikao cha nec kuisha kilichomkata bashe waziri wa mambo ya ndani by that tym l.masha pamoja na kamishna uhamiaji walikiri kuwa bashe alikua ni raia,au umetumwa na riz1 acheni kutumiwa.
mimi mwenyewe sijui uraia wangu ila naishi nchini
The Vitumbua Saga imeishia wapi??
Je Masha naye ni raia?