VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
CCM na Serikali yake walituaminisha kuwa Hussein Bashe,aliyekuwa anagombea Ubunge kule Tabora,si mtanzania na wala hajawahi kuwa raia wa Tanzania. Kutokana na hilo,Bashe akaondolewa kwenye harakati za Ubunge huo na nafasi akapewa Dr.Hamis Kigwangalla.
Kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM wa mwaka huu,ni Bashe huyohuyo aliyejitokeza kugombea Nafasi za Ujumbe wa NEC kutokea Wilayani. Yeye pamoja na Mshindani wake wa karibu,Dr.Kigwangalla sasa wamebatizwa jina la 'Wazee wa Bastola na Vitumbua'. Lini Bashe amepata uraia? CCM itaongozwaje na asiye raia wa nchi hii?