Lini BASHE amepata URAIA?

Lini BASHE amepata URAIA?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
CCM na Serikali yake walituaminisha kuwa Hussein Bashe,aliyekuwa anagombea Ubunge kule Tabora,si mtanzania na wala hajawahi kuwa raia wa Tanzania. Kutokana na hilo,Bashe akaondolewa kwenye harakati za Ubunge huo na nafasi akapewa Dr.Hamis Kigwangalla.

Kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM wa mwaka huu,ni Bashe huyohuyo aliyejitokeza kugombea Nafasi za Ujumbe wa NEC kutokea Wilayani. Yeye pamoja na Mshindani wake wa karibu,Dr.Kigwangalla sasa wamebatizwa jina la 'Wazee wa Bastola na Vitumbua'. Lini Bashe amepata uraia? CCM itaongozwaje na asiye raia wa nchi hii?
 
Kati ya watu bogus na ambao wako nyuma kihabari ni wewe ,baada tu ya kikao cha nec kuisha kilichomkata bashe waziri wa mambo ya ndani by that tym l.masha pamoja na kamishna uhamiaji walikiri kuwa bashe alikua ni raia,au umetumwa na riz1 acheni kutumiwa.
 
mkuu mbona umekuwa mkali sana badala ya kumjibu vizuri, ulichosikia wewe si lazima na wewe kila mtu akisikie, ungemjibu vizuri tuu!
 
usijifanye kama vile hujui kuwa nchi hii inaendeshwa kwa staili ya Simba/Yanga ....bila fitina na unafiki hakuna kula mkuu. Hilo lilishapita ganga yajayo!
 
Kati ya watu bogus na ambao wako nyuma kihabari ni wewe ,baada tu ya kikao cha nec kuisha kilichomkata bashe waziri wa mambo ya ndani by that tym l.masha pamoja na kamishna uhamiaji walikiri kuwa bashe alikua ni raia,au umetumwa na riz1 acheni kutumiwa.

Je Masha naye ni raia?
 
Nchi hii usicheze na maslahi ya wakubwa...utakuwa sio raia. Ukikaa kimya unakuwa raia hapo hapo. teh teh teh
 
Kati ya watu bogus na ambao wako nyuma kihabari ni wewe ,baada tu ya kikao cha nec kuisha kilichomkata bashe waziri wa mambo ya ndani by that tym l.masha pamoja na kamishna uhamiaji walikiri kuwa bashe alikua ni raia,au umetumwa na riz1 acheni kutumiwa.
Mkuu usijibu kama viongozi wa CCM hapa sio kila unachokijua wewe na wengine wanakijua ndio maana akauliza
 
Kuna kipindi Nape akiwa kiongozi wa UVCCM kidogo naye aambiwe si raia.
Ulimwemngu na gazeti lake Rai ya wakati huo sio hii mchakachuo ya sasa ya Bashe, aliambiwa si raia.
Nchi hii ukionyesha kuwa radical wewe si raia lakini ukikubali kuwa gamba twende tu, basi unarudishiwa uraia pasipo kuuliza wala hata kutangazwa. Haihitaji wala maombi uhamiaji.
Chagua moja, kuwa gamba twende tu ubaki raia au kuwa radical ukose uraia.
 
Dr.h.kingwangala a.k.a mzee wa chai na vitumbuaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huyu dr.anahonga chai na vitumbua kweli ukiwa ccm hata na phd unakuwa mwehu!!!!!!!!!!!!!!
 
Bashe kafunguka jana, technic ya uraia ilivyotumika. Alikuwa termed si raia kwa siku tu ili procedure za uraia wkt zinaendelea CC/NEC iwe imeshakaa na kumpitisha wanaemtaka coz if im not wrong hata Dr. Hamis hakuwa wa pili, nafikiri wa pili alikuwa ant-Lowasa Mh. Selelii. Je siasa = jehanamu? mbona uongo na umafia ni nje nje na bado tunawapokea wanasiasa kwa nderemo makanisani na misikitini?
 
Hili jambo liliisha kabla hata ya uchaguzi 2010, Uhamiaji walishasema ni raia, CCM wakasema they dont care Bashe sio raia.
 
Hili jambo liliisha kabla hata ya uchaguzi 2010, Uhamiaji walishasema ni raia, CCM wakasema they dont care Bashe sio raia. Ndio utamu wa siasa zetu huo, sisi wa pembezoni inabidi tujihadhari sana.
 
Hussein Bashe, alisharudishiwa Uraia wake siku nyingi sana kwani aliitishia serikali ya CCM kama wanamnyanganya uraia wake atasitisha kuleta (MIRUNGI) toka Somalia akiwa mfadhili mkuu wa chama cha mapinduzi ndio kwa maana hata wanapotoleana bastola kutishishiana na mgombea mwenzake kiongozi wa wananchi Mh,Mbunge wa Nzega Hamis Kigwangwalah, maarufu vijana wa bastola na Vitumbua hakuna hatua zozote zitakazo chukuliwa badala yake wanaumizwa watu wasio na hatia kama ilivyotokea huko Igunga, Arusha, Morogoro, tuombe sana yasitokee huko Iringa kwa maana Ndugu zangu Wahehe sidhani kama watakubali Ujinga tunaofanyiwa Wtz.
 
Lini Jenerali Ulimwengu amepata URAIA?

Ukipata Jibu La Swali Hilo Then Unganisha Dot ili Upate Uwiano Na Swali Lako.
 
Back
Top Bottom