Pre GE2025 Lini CCM itatoka madarakani na wapinzani watashika Dola?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hilo kweli litatokea mwaka 3100!
 
Naomba kukuuliza, lets suppose CCM imepokonywa Kiti cha urais, ni nani huyo mwenye uwezo wa kuipokonya CCM kiti cha urais?
P
Kwasasa naona wakukipokonya kiti cha urais ni ccm wenyewe. Naamini kuna siku mgombea urais wa Ccm atauza kiti cha urais kwa mpinzani ambacho angestail kukikalia ..... Pia 2030 ndio wakat sahih wa upinzani kukalia kiti ch urais bila hata ya kuuziwa na ccm wenyewe ....


Focus yao ikiwa 2030 watabeba mchana kweupe
 
Kunywa Maji mwanangu
 
CCM ndani Ina demokrasia ya kweli japo Kuna wachache wakorofi wanataka kujimilikisha chama
 
Wapinzani gani awa waliolala na kujisahau upinzani tanzania hakuna
 
2025,

CCM itapambana na CCM, mshindi atakosekana na matokeo yake watagawana fito.

Tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…