Gaganiga
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 168
- 376
Hivi ccm inaweza kutoka madarakani? na kama ikitoka ni lini? Nakili kusema ccm kuitoa kupitia Sanduku la maoni tusahau na tusifikiri hata kidogo yaani sio leo wala kesho kwa ccm hii kutoka madarakani.
Kwanza itatokaje? Na kivipi yaani? Kama Rais pia ni mwenekiti wa Chama hapo kuna kutoka madarakani? Tusahau na wala tusifikirie kabisa tume ya uchaguzi inachaguliwa na rais,wakurugenzi wanachaguliwa na Rais yaani overall control ya nchi inafanywa na Rais na wasaidizi wake ambao pia ni wateule wa Rais na pia ni Makada wa Chama kwa mwendo huu wapinzani mkitegemea ccm kutoka madarakani kwa katiba hii au kupitia ballot box msahau kukamata nchi.
Hii Tanzania kila kitu kimehodhiwa na ccm kuanzia miundombinu,mpaka system mzima ya nchi ni wao ccm polisi,jeshi, ma academicians,yaani kila kitu ni ccm.
Kwa mwendo huu au kwa hizi fikra zenu ccm itatawala milele kama hamtaki kubadilika.