Lini CCM itatoka madarakani?

Lini CCM itatoka madarakani?

Gaganiga

Senior Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
168
Reaction score
376
Hivi ccm inaweza kutoka madarakani? na kama ikitoka ni lini? Nakili kusema ccm kuitoa kupitia Sanduku la maoni tusahau na tusifikiri hata kidogo yaani sio leo wala kesho kwa ccm hii kutoka madarakani.

Kwanza itatokaje? Na kivipi yaani? Kama Rais pia ni mwenekiti wa Chama hapo kuna kutoka madarakani? Tusahau na wala tusifikirie kabisa tume ya uchaguzi inachaguliwa na rais,wakurugenzi wanachaguliwa na Rais yaani overall control ya nchi inafanywa na Rais na wasaidizi wake ambao pia ni wateule wa Rais na pia ni Makada wa Chama kwa mwendo huu wapinzani mkitegemea ccm kutoka madarakani kwa katiba hii au kupitia ballot box msahau kukamata nchi.

Hii Tanzania kila kitu kimehodhiwa na ccm kuanzia miundombinu,mpaka system mzima ya nchi ni wao ccm polisi,jeshi, ma academicians,yaani kila kitu ni ccm.

Kwa mwendo huu au kwa hizi fikra zenu ccm itatawala milele kama hamtaki kubadilika.
 
1. Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA ndo itasababisha CCM itoke madarakani Kwa njia ya AMANI.

2. Njia ngumu ya maandamano yasiyo na kikomo.
 
Siku babu, bibi,wajomba na shangazi zetu kule vijijini watakapoacha kuchukua kanga, tshirt na kofia za CCM, hapo ujue CCM wanaondoka mazima, ukiona hizo dalili ujue Jogoo kagoma kuwika huko Dodoma.
 
Ccm ikitoka itatokea vita
CCM Imewahi kuondolewa KARATU, Nyamagana, UKEREWE, Arusha mjini, HAI, nk nk na hapakuwa na VITA.😠😠

Kwa maana ingine, CCM Imewahi kuwa chama Cha upinzani ktk majimbo mengi tu na tukabaki na Amani yetu 😃😃

One day tutapata RAIS Kutoka upinzani na maisha yatasonga kama Kawa.
 
Hakuna jambo lenye Mwanzo likakosa kuwa na mwisho.

Kila kitu kikiishi, kikidumu kwa Muda Mrefu Huwa ni TATIZO.
 
Kwamba Chadema wamemuandaa Mdude Nyagali kuwa Waziri Mkuu!!!!

Heheheee, hebu CCM wakaekae kidogo, CCM ni zimwi letu, haliwezi kutula tukaisha, kuliko hao tusiowajua
 
Hivi ccm inaweza kutoka madarakani? na kama ikitoka ni lini? Nakili kusema ccm kuitoa kupitia Sanduku la maoni tusahau na tusifikiri hata kidogo yaani sio leo wala kesho kwa ccm hii kutoka madarakani.

Kwanza itatokaje? Na kivipi yaani? Kama Rais pia ni mwenekiti wa Chama hapo kuna kutoka madarakani? Tusahau na wala tusifikirie kabisa tume ya uchaguzi inachaguliwa na rais,wakurugenzi wanachaguliwa na Rais yaani overall control ya nchi inafanywa na Rais na wasaidizi wake ambao pia ni wateule wa Rais na pia ni Makada wa Chama kwa mwendo huu wapinzani mkitegemea ccm kutoka madarakani kwa katiba hii au kupitia ballot box msahau kukamata nchi.

Hii Tanzania kila kitu kimehodhiwa na ccm kuanzia miundombinu,mpaka system mzima ya nchi ni wao ccm polisi,jeshi, ma academicians,yaani kila kitu ni ccm.

Kwa mwendo huu au kwa hizi fikra zenu ccm itatawala milele kama hamtaki kubadilika.

Siku watanzania mkiwa serious na nchi yenu Until then mambo yatabaki vile vile
 
Saa 6 hii mdogo wangu. Nenda home mama ashaivisha . Kapange maji mle then angalia OSMAN
 
Hivi ccm inaweza kutoka madarakani? na kama ikitoka ni lini? Nakili kusema ccm kuitoa kupitia Sanduku la maoni tusahau na tusifikiri hata kidogo yaani sio leo wala kesho kwa ccm hii kutoka madarakani.

Kwanza itatokaje? Na kivipi yaani? Kama Rais pia ni mwenekiti wa Chama hapo kuna kutoka madarakani? Tusahau na wala tusifikirie kabisa tume ya uchaguzi inachaguliwa na rais,wakurugenzi wanachaguliwa na Rais yaani overall control ya nchi inafanywa na Rais na wasaidizi wake ambao pia ni wateule wa Rais na pia ni Makada wa Chama kwa mwendo huu wapinzani mkitegemea ccm kutoka madarakani kwa katiba hii au kupitia ballot box msahau kukamata nchi.

Hii Tanzania kila kitu kimehodhiwa na ccm kuanzia miundombinu,mpaka system mzima ya nchi ni wao ccm polisi,jeshi, ma academicians,yaani kila kitu ni ccm.

Kwa mwendo huu au kwa hizi fikra zenu ccm itatawala milele kama hamtaki kubadilika.
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Duniani hakujawahi kuwa na mafanikio makubwa yaliyopatikana kwa njia nyepesi.
Tanzania ina takribani watu milioni 60. Kwa hiyo, kama hawatapatikana angalau watu 500,000 au 1,000,000 kujitoa sadaka kupitia njia ngumu kwa lengo la kuleta mageuzi chanya katika Nchi hii, sidhani kama tutakuja kuwa na hali nzuri ya Maisha hapa Nchini.
 
Siku wapinzani wakiacha kuwa mamluki.
Kamati Kuu ya Chadema iliyoahidi kuanza mikutano mwezi Disemba, Mwenyekiti wao na familia alienda London, wengine kimya kimya wanajitafunia kuku choma, hata John Heche hasikiki.

Yaani ujitoe sadaka halafu nani ahudumie familia ukifa? Utabaki kuimbwa jukwaani tu kwamba alikuwepo mjinga, akajitoa sadaka kwa upumbavu wake, akafa, ili sisi tule kuku, na kuku tunawala
 
Wakuitoa wenyewe wanaangalia mwenyekiti wa CCM ni dini gani au anatoka kanda gani ndiyo wanapiga kelele.
 
Back
Top Bottom