Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?

Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?

Jana tuu.. Mimi imani tangu haiendeshwi na mijadala na mikanganyiko ya wengine.. Najua kwa hakika kwanini niliamua kuifuata
Ndio ninachokupendea bro. Najua unajua uhalisia wa hii dunia tokana naa ukomavu wa mapito yankidunia uliyopitia.

Binafsi kwa umri wangu huu wa 40's hata watu waseme na wafanye nini? Hawawezi nitoa kwenye imani ya Kikristo kwani nimeshuhudia kwa macho yangu mambo makubwa Yesu aliyonitendea na nina kiri mbele ya watu kuwa Yesu ni kweli na halisi.

Binafsi nimetoka jana Kanisani TAG ninapoabudu mkuu. Karibu sana TAG Morogogoro hapa kwa Dr. Mtokambali.
 
Na kipi kilikuwa chanzo?

Binafsi mara yangu ya mwisho kupita kwenye lango la kanisa ilikuwa ni mwaka 2020, hii ilikuwa ni baada ya kulifahamu jukwaa la Intelijensia humu JF, baadhi ya nyuzi nilizozipitia zilibaki zikinipa mkanganyiko mzito sana kichwani, replies za wadau na mabishano ya hapa na pale yalinifanya niamini kuwa napoteza muda

Vipi kuhusu wewe?
Kama umeshindwa kung'amua na kuwa na msimamo katika imani kutokana na mitazamo na mawazo ya watu wanaotumia fake ID na usiojua wana mission gani behind utakuwa na msimamo kwenye maisha yako ya kila siku?

Inasikitisha kwa kijana kupelekeshwa kwa maneno na misimamo na maisha fake ya mtandaoni.

Binafsi, vitu vyote vya mtandaoni huwa naviacha baada ya kumaliza kutumia simu. Haviniathiri kwenye jambo lolote kwenye uhalisia wa maisha yangu.
 
Kuna kijana aliacha kwenda kanisani kusali akawa hana dini. Alipofariki hakufanyiwa ibada ya mazishi, wanachama wenzake wa chama cha siasa wakajitokeza kumfanyia ibada ya kisiasa badala ya ibada ya dini. Viongozi wa kisiasa wakawa wasemaji kama wachungaji huku wakimtetea kafa vizuri tu na mbinguni ataenda. Sanduku lake walilifunika bendera ya chama chao cha siasa. Cha ajabu kumbe chama chao cha siasa kina nyimbo maalumu za kuimbwa kwenye misiba ya wanachama wao
 
Na kipi kilikuwa chanzo?

Binafsi mara yangu ya mwisho kupita kwenye lango la kanisa ilikuwa ni mwaka 2020, hii ilikuwa ni baada ya kulifahamu jukwaa la Intelijensia humu JF, baadhi ya nyuzi nilizozipitia zilibaki zikinipa mkanganyiko mzito sana kichwani, replies za wadau na mabishano ya hapa na pale yalinifanya niamini kuwa napoteza muda

Vipi kuhusu wewe?
Na kweli unapoteza muda. Endelea kuupoteza. Hakuna amani duniani kama ibada ya kila siku ya Saba mara moja kwa juma.
 
Jana tuu.. Mimi imani tangu haiendeshwi na mijadala na mikanganyiko ya wengine.. Najua kwa hakika kwanini niliamua kuifuata
Mtu anaye kwenda kanisani huyo moja kwa moja ni ana upumbavu fulani ...kanisa siyo nyumba ya ibada ...kwanza hakuna nyumba ya ibada ya mungu wa kweli ambayo watu wanaingia na viatu au wakiwa najisi hii nitoka kale....kwa mujibu wa torati na injili siku inabadilika jioni hivyo ikiwa umepanga kwenda kwenye nyumba ya bwana inabidi hata usiku usishiriki tendo la ndoa na mkeo au mumeo au yeyote ....ukisoma kitabu cha samweli daudi alipo mtoroka sauli alikwenda kwenye nyumba ya ibada na kuomba chakula yeye na watu alio toroka nao kiongozi wa hiyo nyumba alimwambia...chakula kilichopo nikile kilicho wekwa mezani mwa bwana ambacho awawezi kukila kama wamelala na wanawake ..ndipo daudi akasema hakika sisi ni safi atujalala na wanawake usiku .....lakini leo hii watu wanakula chakula cha bwana huku usiku wametoka kudinyanya na wake au waume au mahawara zao ....wanaingia na viatu nyumba wanayo dai ni ya bwana ! Msingi wa makanisa haya ya sasa haukua nyumba za ibada bali nyumba za kukutania ili.kujulishana na kukumbushana neno la Mungu tatizo likaja baada ya kugeuzwa kanisa kuwa nyumba ya ibada badala ya nyumba ya kukutania tu...kwenye nyumba za kukutania watu uingia na viatu hakuna shida yoyote.
 
Mtu anaye kwenda kanisani huyo moja kwa moja ni ana upumbavu fulani ...kanisa siyo nyumba ya ibada ...kwanza hakuna nyumba ya ibada ya mungu wa kweli ambayo watu wanaingia na viatu au wakiwa najisi hii nitoka kale....kwa mujibu wa torati na injili siku inabadilika jioni hivyo ikiwa umepanga kwenda kwenye nyumba ya bwana inabidi hata usiku usishiriki tendo la ndoa na mkeo au mumeo au yeyote ....ukisoma kitabu cha samweli daudi alipo mtoroka sauli alikwenda kwenye nyumba ya ibada na kuomba chakula yeye na watu alio toroka nao kiongozi wa hiyo nyumba alimwambia...chakula kilichopo nikile kilicho wekwa mezani mwa bwana ambacho awawezi kukila kama wamelala na wanawake ..ndipo daudi akasema hakika sisi ni safi atujalala na wanawake usiku .....lakini leo hii watu wanakula chakula cha bwana huku usiku wametoka kudinyanya na wake au waume au mahawara zao ....wanaingia na viatu nyumba wanayo dai ni ya bwana ! Msingi wa makanisa haya ya sasa ni haukua nyumba za ibada bali.munga za kukutania ili.kujulishana na kukumbushana neno la mungu tatizo likaja baada ya kugeuzwa kanisa kuwa nyumba ya ibada badala ya nymba ya kukutania.
Uzi ulikuwa umetulia umekuja na majini yako tayari. Hivi unaamini kwenda kubinua misambwanda na kupiga kichwa chini ndio kumtumikia Mungu?
 
Kuna makanisa yameanzisha utaratibu wa kuteka misiba ya walioacha kwenda kanisani na kuifanya jukwaa la kuhubiria injili kwa wahudhuriaji wa misiba hiyo. Kama atahubiri mchungaji/katekista katika msiba wa muumini wake aliyeacha kwenda kanisani atasema marehemu alifia dhambini na mungu amuweke panapomstahili.
 
Back
Top Bottom