Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?

Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?

Mtu anaye kwenda kanisani huyo moja kwa moja ni ana upumbavu fulani ...kanisa siyo nyumba ya ibada ...kwanza hakuna nyumba ya ibada ya mungu wa kweli ambayo watu wanaingia na viatu au wakiwa najisi hii nitoka kale....kwa mujibu wa torati na injili siku inabadilika jioni hivyo ikiwa umepanga kwenda kwenye nyumba ya bwana inabidi hata usiku usishiriki tendo la ndoa na mkeo au mumeo au yeyote ....ukisoma kitabu cha samweli daudi alipo mtoroka sauli alikwenda kwenye nyumba ya ibada na kuomba chakula yeye na watu alio toroka nao kiongozi wa hiyo nyumba alimwambia...chakula kilichopo nikile kilicho wekwa mezani mwa bwana ambacho awawezi kukila kama wamelala na wanawake ..ndipo daudi akasema hakika sisi ni safi atujalala na wanawake usiku .....lakini leo hii watu wanakula chakula cha bwana huku usiku wametoka kudinyanya na wake au waume au mahawara zao ....wanaingia na viatu nyumba wanayo dai ni ya bwana ! Msingi wa makanisa haya ya sasa ni haukua nyumba za ibada bali.munga za kukutania ili.kujulishana na kukumbushana neno la mungu tatizo likaja baada ya kugeuzwa kanisa kuwa nyumba ya ibada badala ya nymba ya kukutania.
Mwingine jana kateka na kuua lakini yuko kanisani.

Mimi siwezi kuungana na wasiojulikana kwenye kanisa moja.
 
Ndio ninachokupendea bro. Najua unajua uhalisia wa hii dunia tokana naa ukomavu wa mapito yankidunia uliyopitia.

Binafsi kwa umri wangu huu wa 40's hata watu waseme na wafanye nini? Hawawezi nitoa kwenye imani ya Kikristo kwani nimeshuhudia kwa macho yangu mambo makubwa Yesu aliyonitendea na nina kiri mbele ya watu kuwa Yesu ni kweli na halisi.

Binafsi nimetoka jana Kanisani TAG ninapoabudu mkuu. Karibu sana TAG Morogogoro hapa kwa Dr. Mtokambali.
Asante sana nakujaga Moro mara kwa mara siku nikipata muda nitajumuika nawe
Mimi nimehudhuria mpaka ibada za wapagani na kujifunza imani zao, nimehudhuria mpaka ibada za shetani
Itoshe tu kusema Mungu yupo
 
Mwingine jana kateka na kuua lakini yuko kanisani.

Mimi siwezi kuungana na wasiojulikana kwenye kanisa moja.
Kutawaza ni kujitakasa na mapungufu yamchukizayo mungu uliyo yafanya kwa kujua au kutokujua ili mungu aweze kukutizama katika sara na dua zako kwa muda ule unapo kuwa ibadani kwenye nyumba ya ibada...
 
Kuna makanisa yameanzisha utaratibu wa kuteka misiba ya walioacha kwenda kanisani na kuifanya jukwaa la kuhubiria injili kwa wahudhuriaji wa misiba hiyo. Kama atahubiri mchungaji/katekista katika msiba wa muumini wake aliyeacha kwenda kanisani atasema marehemu alifia dhambini na mungu amuweke panapomstahili.
Ibada yoyote kwa marehemu ni haramu
 
Kuna makanisa yameanzisha utaratibu wa kuteka misiba ya walioacha kwenda kanisani na kuifanya jukwaa la kuhubiria injili kwa wahudhuriaji wa misiba hiyo. Kama atahubiri mchungaji/katekista katika msiba wa muumini wake aliyeacha kwenda kanisani atasema marehemu alifia dhambini na mungu amuweke panapomstahili.
Imani nyingi kwa sasa zipo kutisha tisha watu kama hivyo badala ya kutangaza na kufundisha neno la Mungu.
 
Ndio ninachokupendea bro. Najua unajua uhalisia wa hii dunia tokana naa ukomavu wa mapito yankidunia uliyopitia.

Binafsi kwa umri wangu huu wa 40's hata watu waseme na wafanye nini? Hawawezi nitoa kwenye imani ya Kikristo kwani nimeshuhudia kwa macho yangu mambo makubwa Yesu aliyonitendea na nina kiri mbele ya watu kuwa Yesu ni kweli na halisi.

Binafsi nimetoka jana Kanisani TAG ninapoabudu mkuu. Karibu sana TAG Morogogoro hapa kwa Dr. Mtokambali.
Walokole mungu wenu kiziwi na wengi wenu dishi zimeyumba
 
Back
Top Bottom