Mtu anaye kwenda kanisani huyo moja kwa moja ni ana upumbavu fulani ...kanisa siyo nyumba ya ibada ...kwanza hakuna nyumba ya ibada ya mungu wa kweli ambayo watu wanaingia na viatu au wakiwa najisi hii nitoka kale....kwa mujibu wa torati na injili siku inabadilika jioni hivyo ikiwa umepanga kwenda kwenye nyumba ya bwana inabidi hata usiku usishiriki tendo la ndoa na mkeo au mumeo au yeyote ....ukisoma kitabu cha samweli daudi alipo mtoroka sauli alikwenda kwenye nyumba ya ibada na kuomba chakula yeye na watu alio toroka nao kiongozi wa hiyo nyumba alimwambia...chakula kilichopo nikile kilicho wekwa mezani mwa bwana ambacho awawezi kukila kama wamelala na wanawake ..ndipo daudi akasema hakika sisi ni safi atujalala na wanawake usiku .....lakini leo hii watu wanakula chakula cha bwana huku usiku wametoka kudinyanya na wake au waume au mahawara zao ....wanaingia na viatu nyumba wanayo dai ni ya bwana ! Msingi wa makanisa haya ya sasa haukua nyumba za ibada bali nyumba za kukutania ili.kujulishana na kukumbushana neno la Mungu tatizo likaja baada ya kugeuzwa kanisa kuwa nyumba ya ibada badala ya nyumba ya kukutania tu...kwenye nyumba za kukutania watu uingia na viatu hakuna shida yoyot
Tazama, saa yaja ambayo waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika roho na kweli. Lakini pia Mungu haishi kwenye majumba yaliyojengwa na wanadamu.Mtu anaye kwenda kanisani huyo moja kwa moja ni ana upumbavu fulani ...kanisa siyo nyumba ya ibada ...kwanza hakuna nyumba ya ibada ya mungu wa kweli ambayo watu wanaingia na viatu au wakiwa najisi hii nitoka kale....kwa mujibu wa torati na injili siku inabadilika jioni hivyo ikiwa umepanga kwenda kwenye nyumba ya bwana inabidi hata usiku usishiriki tendo la ndoa na mkeo au mumeo au yeyote ....ukisoma kitabu cha samweli daudi alipo mtoroka sauli alikwenda kwenye nyumba ya ibada na kuomba chakula yeye na watu alio toroka nao kiongozi wa hiyo nyumba alimwambia...chakula kilichopo nikile kilicho wekwa mezani mwa bwana ambacho awawezi kukila kama wamelala na wanawake ..ndipo daudi akasema hakika sisi ni safi atujalala na wanawake usiku .....lakini leo hii watu wanakula chakula cha bwana huku usiku wametoka kudinyanya na wake au waume au mahawara zao ....wanaingia na viatu nyumba wanayo dai ni ya bwana ! Msingi wa makanisa haya ya sasa haukua nyumba za ibada bali nyumba za kukutania ili.kujulishana na kukumbushana neno la Mungu tatizo likaja baada ya kugeuzwa kanisa kuwa nyumba ya ibada badala ya nyumba ya kukutania tu...kwenye nyumba za kukutania watu uingia na viatu hakuna shida yoyote.