Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?

Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?

ghost/spirit/soul, mwili ndio unaokufa ila roho yako haifi utapumzika kuzimu kwanza ukisubiri hukumu uende mbinguni au jehanamu kutokana na matendo yako uliyotenda ukiwa hai kimwili. Kwanza omba toba usamehewe dhambi zako kabla hujafa
Hiyo ni kwa anaeamini imani unayoamini na sio kwa kila mtu.
 
Ukizikwa kwa heshima nini kiataongezeka kwenye kifo chako
marehemu husitiriwa kwa heshima hata kama haoni na hasikii. Huwezi kumzika ndugu yako kinyama ndio maana siku hizi kuna mazishi ya bajeti kubwa na ghali. Marehemu anazikwa kwa gharama kubwa
 
marehemu husitiriwa kwa heshima hata kama haoni na hasikii. Huwezi kumzika ndugu yako kinyama ndio maana siku hizi kuna mazishi ya bajeti kubwa na ghali. Marehemu anazikwa kwa gharama kubwa
Hujajibu swali au hujalielewa?
 
Kuna makanisa yameanzisha utaratibu wa kuteka misiba ya walioacha kwenda kanisani na kuifanya jukwaa la kuhubiria injili kwa wahudhuriaji wa misiba hiyo. Kama atahubiri mchungaji/katekista katika msiba wa muumini wake aliyeacha kwenda kanisani atasema marehemu alifia dhambini na mungu amuweke panapomstahili.
Huyo mchungaji sijui katekista atakuwa kanjanja na akili hana.

Unasemaje nimefia dhambini kisa sikuwa nikihudhuria ibada?anayenituhumu mimi dhambi yeye ana usafi gani?
 
Ukishakunywa wanzuki na gongo unaandika ujinga tu. Hongera kwa kuonesha uchi wa akili yako.

Haibadilishi ukweli, Mungu wa walokole ananguvu kuliko miungu yoyote ile chini duniani na juu mbinguni.

Nimemshuhudia kwa macho yangu akitenda mambo ya ajabu huyu Yesu.
Hapa tu panawafanya watu wawaone wa ajabu,and well nimekuona wa ajabu kweli kweli.

Unatoa wapi guts za kujimilikisha Mungu ikiwa yeye hutoa mema na mabaya kwa wote wanaomuabudu ktk kweli na wasiomuabudu?mnajitweza sana hadi mnakera.
 

IMG-20241016-WA0030.jpg
natangaza rasmi kuwa kuanzia Leo Mimi sio muumini wa dini yoyote...nitaiabudu mizimu ya Babu zetu...ama mitaliabu Jua maana Athari zake zinaonekana wazi wazi.

Mungu wa Yesu au Mohammed anikome kabisa...!​
 
2016 Mwezi wa 10 baada ya kumaliza mwezi wa Rozari, nilipata akili timamu na kuachana na mambo ya dini kabisa
 
Hawa wajinga wa dini nawajua vizuri sana uzuri mmoja mama yangu ni muislamu na mzee ni mkristo 🤔
Tumia tu lugha nzuri masta hupungukiwi kitu hapa unatukana mpaka waliokuleta duniani that ain't fair bruh.

Ni jambo dogo sana lakini ni kubwa pia
 
Pale niliposikia mtumishi anakunywa mpaka anasahau jina lake na kubadilika sura
1729527908612.jpeg
 
Back
Top Bottom