Kuna aya katika qur'an zinasema "ebu mwanadamu na ajitazame ameumbwa na nini"
Kisha ikaelezwa "ameumbwa kwa maji yenye kuchupa yatokayo kati ya mifupa ya mgongo na mbavu"
Mwanadamu huyu leo ambaye aliumbwa dhariri kabisa kwa maji yatokayo kasi na akapitia process zote za ukuaji,leo kawa kiumbe kamili anaweza log in jf anakiri kwa mdomo wake kuwa hakuna mungu
Na haya ndio baadhi ya mambo ambayo ameyasema mungu ,kwamba mwanadamu akijiona ni mzima wa afya na anapata riziki yake vizur basi hujikweza na kumsahau yule aliyemuumba,ndio hawa ambao tunawaona jf leo,wao hawatambui uwepo wa mungu kabisa
Lakini wajue kuna mwamba alijiita mungu firauni aliyetoa adhabu kali kwa wana israel,lkn ilipofikia wakati wa kufa kwake ndio alijia kumbe kuna mungu na kutaka kuomba toba lkn alishachelewa
Kwahiyo tuendelee kukaza hivyo hivyo tu kwamba hakuna mungu,mtakuja kujuta baadae wakati utakapo fika,dunia ilikuwa na watu viburi mno lakini leo hawapo
Take care boys!