Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikuombee nikutoe pepo hilo maana sio bure. Hapo nimeandika kibaya kipi mkuu? Lakini pamoja na yote hata kama umekereka, nakushuhudia asubuhi ya leo nikiwa na akili timamu kuwa Mungu wa walokole ni Mungu wa kweli na Mungu mkuu juu ya miungu yote.Hapa tu panawafanya watu wawaone wa ajabu,and well nimekuona wa ajabu kweli kweli.
Unatoa wapi guts za kujimilikisha Mungu ikiwa yeye hutoa mema na mabaya kwa wote wanaomuabudu ktk kweli na wasiomuabudu?mnajitweza sana hadi mnakera.