Lini inafaa kuanza kumuingilia?

Lini inafaa kuanza kumuingilia?

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
303
Reaction score
154
Mke wangu amejifungua kama siku kumi hivi zilizopita. Je, yatupasa tukae siku ngapi bila kuingiliana?
 
Naomba kujuwa elimu yako ya shule kwanza
.....dini yako....na kabila lako.Mwisho ndoa yako ilikuwa ya kesirikali,kimila au kidini
 
Bado sana kijana.. endelea kuvumilia tu.. vimiezi vitatu vinne vinakuhusu.... no papuchi
 
Naomba kujuwa elimu yako ya shule kwanza
.....dini yako....na kabila lako.Mwisho ndoa yako ilikuwa ya kesirikali,kimila au kidini

Mi sijasema nataka kumuingilia. Nimeuliza ili nipate ufahamu tu
 
Mi sijasema nataka kumuingilia. Nimeuliza ili nipate ufahamu tu

Nakubaliana na wewe....na jibu lako linapatikana katika hayo niliyokuuliza.....Kimila wazee huwa wanatoa mafunzo na mpaka wanakutia uwoga wa kumuharibu mtoto....ki biology kuna family planning etc....ushauri vuta subira kama miezi miwili mitatu hivi mamaa apate nguvu
 
Mke wangu amejifungua kama siku kumi hivi zilizopita. Je, yatupasa tukae siku ngapi bila kuingiliana?

Siku kumi na mbili zinatosha......tena ndio vizuri unakaza na njia........si mkeo bana.............anza ili uboost maziwa ya mtoto.............
 
Kidini baada cku 40 mke anakuwa msafi yan kapata twahara, so hapo kitachofuata ni maamuz yenu wawili kama mtapenda wote sio mbaya, baba mzaz huwa haaribu mtoto... ila ukichepuka then ukaja kumix na kwa mama mtoto ndo hapo wanasema mtoto kapata joto baya, au mama mtoto akipigisha cm za nnje ndo dogo anateseka pia!!
Sawa mkuu!???
 
Kidini~ni Siku 40 Tu Zinatosha Maana Damu Ya Uzaz"nifasi" Inakuwa Imekata,

Kibaolojia~miez3 Had 4,kwan Wengne Huwa Wanachanika Msamba Wakat Wa Delivery Hvy Inamchukua Muda Had Kupona,
 
Jitahid kuvumilia mkuu...miezi miwil inatosha sana..
 
Back
Top Bottom